Afadhali Katiba ya Tanzania Kuliko Ya Kenya

Heheee...kwhyo ni uongo, ukileta taarifa wewe kutoka youtube ni ya kweli, lkn mm unapinga...haya basi ni propaganda za mabeberu
Nimekuambia uniambie idadi ya watu wenye albism waliouliwa kuanzia 2016 hadi 2019, badala ya kunijubu, unaniuliza Mimi nikuambia hii ya lini. Stupid.
 
Sijasshau kuhusu lissu...nieleze mambo yanaendaje
 
Soma post yangu #33, wewe ukajibu #38. Ina maana hata unachokijibu hukijui wala hukumbuki. Mimi nimezingumzia kitendo cha serikali ya Kenya kushindwa kutimiza AMRI halali ya MAHAKAMA kwa kumrudishia passport yake na kumruhusu kurudi Kenya, wewe ukajibu kwa kusema kesi yake bado ipo kotini, sasa kama MAHAKAMA ilishasema arudishwe nchini, kwanini Serikali haitimizi hilo agizo na wala haikukata rufaa kupinga hiyo hukumu?, huo utawala wa sheria na demokrasia ya Kenya ni ipi kama serikali ndio inaongoza kwa kupuuza MAHAKAMA
 
Hyo kutorudhishiwa passport ilikua hta kabla ya hyo kesi aliyoshinda...
Sai bado ako na kesi km mbili hvi zinaendelea... Angalia tarehe hapo
Code:
Then ucheki na hii
Code:
Ukurupukaji mbaya sana
 
Kesi ya lissu vp?
 
Hivi wewe una akili kweli?. Hizo kesi mbili zinahusianaje na hukumu ya MAHAKAMA kutotekekezwa?, acha kuleta Maneno Mengi ili kupoteza lengo.

MAHAKAMA ilitoa AMRI kwamba arudishiwe passport yake bila masharti na arihusiwe kurudi Kenya?, kwanini hadi Leo bado serikali yenu imekataa kutekeleza amri halali ya MAHAKAMA?. Sasa huo utawala wa sheria na demokrasia ya katiba mpya vipo wapi?
 
Heheee...ugua pole pole, unaongelea vitu vya 2018 march mm nmekupa kesi aliyoshinda december 2018...sasa unapinga nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Ama umeumia kuskia miguna kashinda kesi dhiki ya serilali..kitu ambacho ni nadra upande ule mwengine...

Na km serikali haiheshimu mahakama, mbna ilipotengua uchaguzi serikali haikutunisha misuli bali ilipiga kelele na mwisho uchaguzi ukafanyika tena...
 
Kwanza makonda aliuhujumu uchumi na kontena zake kusemekana zipigwe mnda aliwatishia watakaozinunua...
Jiwe akafyata kw sababu ni kipenzi chake...angelifanya mbowe, sai ingelikua ananyea debe
 
Mna uhuru gani nyie labda wa kuwa mashoga
 
Kwanini MAHAKAMA haijatekeleza AMRI ya kumrudishia passport yake na kumruhusu kurudi Kenya?
 
We jamaaa unavuta bangi tena mbichi angalia zitakuvukisha nguo kwa barabara.
Hiyo video sio ya miaka hii.
Leta habari ama taarifa kuanzia 2016 inayoonesha mauaji ya albino.
Heheee...kwhyo ni uongo, ukileta taarifa wewe kutoka youtube ni ya kweli, lkn mm unapinga...haya basi ni propaganda za mabeberu
 
Jichekie tarehe we mwenyewe
We jamaaa unavuta bangi tena mbichi angalia zitakuvukisha nguo kwa barabara.
Hiyo video sio ya miaka hii.
Leta habari ama taarifa kuanzia 2016 inayoonesha mauaji ya albino.
 
Ngoja kesi zake ziishe halafu uone km atarudishiwa au zii...
Ya kwanza tayari ni ya kuburuzwa na polisi na kudhalilishwa hadharani...7 million hzo kina matiangi wanatakiwa watoa kutoka kw wizara husika...
Kuwa mpole, ruling ikishatoka utashangaa mwnyewe
Kwanini MAHAKAMA haijatekeleza AMRI ya kumrudishia passport yake na kumruhusu kurudi Kenya?
 
Hao watu wamefungwa walofanya hilo tukio.
Je hiyo ni current news???
2019 hii toka inaanza mpk inaisha ushawahi sikia kifo chochote ama unyanyasaji wa albino??
Hiyo still ni past news.
Na hyo habari imetokea muda ila kesi hiyo ndiyo inazungumziwa.
We mtu hadi kutibiwa ameshatibiwa it means sio jana wala juzi hyo kesi.
Na watu walishatiwa ndani.
Jichekie tarehe we mwenyeweView attachment 1239332
 
Kiswahili kimefanya kuja tu...
Kimechimbuka kutokana na intermarriages ya waarabu na coastal bantus hapa africa mashariki..
Pia kuna maneno mengine ya kireno yamo ndani....

Tanzania ikakifanya kuwa lugha ya taifa kupitia nyerere hku akimaliza ukabila...tatizo alitengeneza kabila kuu baada ya kuumaliza ukabila tanzania(CCM)
Kwan kiswahili lugha ya taifa gani ama wajitoa akili?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
We jamaaa unavuta bangi tena mbichi angalia zitakuvukisha nguo kwa barabara.
Hiyo video sio ya miaka hii.
Leta habari ama taarifa kuanzia 2016 inayoonesha mauaji ya albino.
Yani unairuka tena kauli yako ya kutoka 2016
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…