Mm sio mtu wa Kigoma siwez bishana umeshinda mzee.Siwezi shangaa..kwn hayo maneno umeyaandika kw uchungu sana kisa huutaki ukwel...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu hawana executive president,vice na prime ministerUnamaanisha katiba ya mkoloni au? Maanake navojua mimi ni kwamba kando na 'ammendments' kidogo ambazo mlifanya mwaka wa 1977, katiba ya Tz ni ile ile ya mabeberu.
Bantu kiasili walitokea AFRIKA MAGHARIBI, Northeastern Nigeria sio Tz.ASA nenda pande zote uulize Bantu ni asili kuu ya WAP km so Tz na kiswahili ni lugha ya wapi km so Tz? Usiteseke mazeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeelewa maelezo?Bantu kiasili walitokea AFRIKA MAGHARIBI, Northeastern Nigeria sio Tz.
ASA nenda pande zote uulize Bantu ni asili kuu ya WAP km so Tz na kiswahili ni lugha ya wapi km so Tz? Usiteseke mazeh
Sent using Jamii Forums mobile app