Afadhali Katiba ya Tanzania Kuliko Ya Kenya

Afadhali Katiba ya Tanzania Kuliko Ya Kenya

Unamaanisha katiba ya mkoloni au? Maanake navojua mimi ni kwamba kando na 'ammendments' kidogo ambazo mlifanya mwaka wa 1977, katiba ya Tz ni ile ile ya mabeberu.
Mabeberu hawana executive president,vice na prime minister
Katiba yenu ya 1,000 pages imeshindwa kukidhi mahitaji ndani ya muda mfupi sana,na sasa mnaifumua
Kuchamba kwingi....
 
Back
Top Bottom