Ester505
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 793
- 1,049
NI kutokana na SABABU zifuatazo
(1)Wanaheshimu Sana wake zao, na wanahudumia vizuri Sana.
(2) Wanaheshimu Sana dini ndio maana hata wakati wa Ramadhan Mambo mengi katika maisha hayaendi. Mfano migahawa hufungwa baadhi, madukani ndio hivyooo, n.k
(3)Ni wasafi sana(hawawezi kujisaidia haja ndogo bila maji) hata wa mioyo ndio Maana Matajiri WENGI. Hata zinaa Ni kwa wachache kwa kuwa wanaruhusiwa kuoa wake 4. Hi husaidia kutopata nuksi, mikosi na mabalaa na hufanikiwa Sana kwenye shughuli zao
(4) Sio walevi kivile, na pia sio wa kufungua midomo hovyo hovyo kueleza mipango yao.
NB: AFADHALI KUOLEWA UKIJUA KUNA WENZIO WENGINE 3 KULIKO KUOLEWA KUJUA UKO PEKE YAKO KUMBE KUNA VINCHENCHEBE 30 NJE