Afadhali kuolewa na Muislamu kuliko Mkristo

Afadhali kuolewa na Muislamu kuliko Mkristo

Hizi IDs zenye 'Da' fulani mara nyingi wamiliki wake ni wa kiume
Ha ha ha....arrest warrant iko tayar[emoji1]
JamiiForums-1232584502.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
NI kutokana na SABABU zifuatazo
(1)Wanaheshimu Sana wake zao,na wanahudumia vizuri Sana.

(2)Wanaheshimu Sana dini ndo maana hata wakati wa Ramadhan Mambo mengi katika maisha hayaendi.mfano migahawa hufungwa baadhi,madukani ndo hivyooo,n.k

(3)Ni wasafi sana(hawawezi kujisaidia haja ndogo bila maji) hata wa mioyo ndo Mana Matajiri WENGI. Hata zinaa Ni kwa wachache kwa kuwa wanaruhusiwa kuoa wake 4. Hi husaidia kutopata nuksi,mikosi na mabalaa na hufanikiwa Sana kwenye shughuli zao

(4)Sio walevi kivile, na pia sio wa kufungua midomo hovyo hovyo kueleza mipango yao.

NB:AFADHALI KUOLEWA UKIJUA KUNA WENZIO WENGINE 3 KULIKO KUOLEWA KUJUA UKO PEKE YAKO KUMBE KUNA VINCHENCHEBE 30 NJE

Inatuhusu nini au tutaathirika nini sisi wa Kristo? Una uhuru wa kuolewa hata na bohorah
 
Back
Top Bottom