Afadhali kuolewa na Muislamu kuliko Mkristo

NI kutokana na SABABU zifuatazo
(1)Wanaheshimu Sana wake zao,na wanahudumia vizuri Sana.

(2)Wanaheshimu Sana dini ndo maana hata wakati wa Ramadhan Mambo mengi katika maisha hayaendi.mfano migahawa hufungwa baadhi,madukani ndo hivyooo,n.k

(3)Ni wasafi sana(hawawezi kujisaidia haja ndogo bila maji) hata wa mioyo ndo Mana Matajiri WENGI. Hata zinaa Ni kwa wachache kwa kuwa wanaruhusiwa kuoa wake 4. Hi husaidia kutopata nuksi,mikosi na mabalaa na hufanikiwa Sana kwenye shughuli zao

(4)Sio walevi kivile, na pia sio wa kufungua midomo hovyo hovyo kueleza mipango yao.

NB:AFADHALI KUOLEWA UKIJUA KUNA WENZIO WENGINE 3 KULIKO KUOLEWA KUJUA UKO PEKE YAKO KUMBE KUNA VINCHENCHEBE 30 NJE
Same arguments could be made Kwa mwanamke wa kikristu vs muislamu

Wagalatia wamekua changamoto sana
 
Nchi hii hali ya watu kwenye ufahamu wa mambo bado sanaa,tunasafari ndefu sanaa maana wengi masuala ya jamii tuu wapo kizani.
Sasa kama huyu inaonyesha hata kutembea hajatembea sehemu nyingi kabla ya kuamua kutulia.
Kapata majibu kwa kuangalia tena watu anaowafahamu kisha kaleta mada kwa watu zaidi ya laki.
Njoo tukuoe sasa ndo utajua ni kwanini huwa hatushindi majumbani(kutwa kwenye kahawa) na hata tukiwa road hatuambatani na wake zetu. Njoo
 
NI kutokana na SABABU zifuatazo
(1)Wanaheshimu Sana wake zao,na wanahudumia vizuri Sana.

(2)Wanaheshimu Sana dini ndo maana hata wakati wa Ramadhan Mambo mengi katika maisha hayaendi.mfano migahawa hufungwa baadhi,madukani ndo hivyooo,n.k

(3)Ni wasafi sana(hawawezi kujisaidia haja ndogo bila maji) hata wa mioyo ndo Mana Matajiri WENGI. Hata zinaa Ni kwa wachache kwa kuwa wanaruhusiwa kuoa wake 4. Hi husaidia kutopata nuksi,mikosi na mabalaa na hufanikiwa Sana kwenye shughuli zao

(4)Sio walevi kivile, na pia sio wa kufungua midomo hovyo hovyo kueleza mipango yao.

NB:AFADHALI KUOLEWA UKIJUA KUNA WENZIO WENGINE 3 KULIKO KUOLEWA KUJUA UKO PEKE YAKO KUMBE KUNA VINCHENCHEBE 30 NJE
Da gulo hizi akili ni baada ya kushiba pilau naomba ukiwa na nja uje uandike tena kama ulivyo andika
 
Back
Top Bottom