hiyo ni kweliKuoana imani tofauti huwa inawezekana mwanzoni lakini mbeleni huwa ni majuto au michanganyo. Ili muende SAwa inabidi mmoja amfauate mwenzio au muwe wapagani nyote.
nikikumbuka kuna muda dada zangu huwa wananiita HB naishia kutabasamuKama hujaolewa nikupe kaka yangu, bonge la HB halafu shombe shombe