Wanaongea sanaManzoni hasajiliwi mdomoni, bali inatakiwa cash.
HahahaaaAtakuja kuwa kama Bocco, muda utatueleza
We ngoja tusubiliAnaweza ku flop kuliko wanavyotegemea
Tabu sanaJuzi nilikuwa kijijini nikasikia wanaSimba wakiwaringishia Uto kuhusu Manzoki. Niliwahurumia sana. Hawa viongozi waache siasa za kijinga
SanaHuyu manzoki anasubiriwa kama vile mkombozi kutoka ng'ambo kuja kuokoa meli inayozama
Ndio hapo sasaNgoja niangalie clip zake.
Sizani kama anavyo ongelewa ndivyo alivyo.
Washabiki wa Simba wataweka wapi sura zao kama atakuwa kama Dejani jojovick