Tetesi za usajili kwa upande wa Simba zimetawaliwa na ujio wa Manzoki. Dirisha la usajili lililopita watu wa Simba waliongea sana na wengine kuaminisha ulimwengu kuwa the deal was done. Matokeo yake kila mmoja anayejua. Kelele za ujio wake haziishi. Mmmmmmh
Nawaomba mkamilishe hiyo deal ili walau muanze kuandika vitu vingine
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Nawaomba mkamilishe hiyo deal ili walau muanze kuandika vitu vingine
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app