Afande aliyetajwa kwenye kesi ya 'Binti wa Yombo', sio mwanamke

Huyu naye ni "learned friend" kuandika kama mhuni wa mtaani.Huwezi kukuta Nchi yeyote nyingine duniani a so called lawyer anaandika lugha kali na za kihuni kama huyu.
Angeweza kufikisha ujumbe aliokusudia bila ya kutumia lugha za vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…