Sasa ndio amekusudia kutuambia Jeshi la polisi limeshindwa kuwadhibiti majambazi na wezi wavunja madilisha na milango wakiwemo vibaka wa njia za mkabulini?
Wapemba wao huko kwao Pemba huwaga wanatembea na visu kiunoni mkubwa kwa mdogo.
Ila Hapa TzB inaruhusiwa mtu kutembea na silaha kama panga na haitomlazimisha polisi aliekosa la kufanya kukukamata ? Je polisi wameruhusu wananchi kujilinda kwa kutumia silaha?
Kutega umeme, kuna majambazi wanafunga njia,kuna majambazi aina ya panya road na tunapoamua kujilinda, tutakuwa salama kwenye mikono ya sheria na haswa polisi, kule TzV nafikiri wanawakata mikono wezi. Ila kujilinda bado ,sidhani hata kama wanalala na gongo.