Afande Bageni akwama tena; Ombi: Asinyongwe

Unamuita mfungwa afande au ni mhalifu mwenzio
 

Huyu Mshenzi nashangaa kwanini rais mpaka sasa hajadondoka wino apigwe kitanzi ,yeye na zombe wameua wanafamilia watatu na kuwapora mil 200 pamoja na madini na kuwasingizia ni majambazi.
 
Nishawahi kusumbuana naye huyu
Alikuwa mkuda balaa bila kuwa na tag
Angenimaliza Hahaha

Sjui alingia vp mkenge kwenye kesi hii
Maana alikuwaga anasimamia Sana kazi
Yake,ukitaka kmpeleka kule hapokei
Labda kama alikuja badilika

Ova
Baada ya kila sijaelewa
 
Bageni na askari wenzake 12, akiwamo aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa mkoa wa Dar es Salaam (RCO), Abdallah Zombe walishitakiwa mwaka 2006 kwa mauaji ya wachimba madini watatu kutoka Mahenge, Morogoro.
Nilimkuta siku moja Morogoro sehemu moja inaitwa Moseka amefunga vishikizo vya shati vimepishana 🤣 ✍️
 
Nishawahi kusumbuana naye huyu
Alikuwa mkuda balaa bila kuwa na tag
Angenimaliza Hahaha

Sjui alingia vp mkenge kwenye kesi hii
Maana alikuwaga anasimamia Sana kazi
Yake,ukitaka kmpeleka kule hapokei
Labda kama alikuja badilika

Ova
Nishawahi kusumbuana naye huyu
Alikuwa mkuda balaa bila kuwa na tag
Angenimaliza Hahaha

Sjui alingia vp mkenge kwenye kesi hii
Maana alikuwaga anasimamia Sana kazi
Yake,ukitaka kmpeleka kule hapokei
Labda kama alikuja badilika

Ova
Mkuu angalia chanel ya hiyo case ndo utajua aliingiaje,
Hii ilianzia juu kwa wakubwa wake wa kazi maboss zake kina zombe,
So ni either uwe nasi ule mema ikitiki,
Au utukatae tukupoteze.
 
Ilinisikitisha sana hiyo taarifa na walimuua dereva wa taxi wa sinza pale ndio watu wakastuka yule dereva sio jambazi ila wapo wafanyabiashara wa madini wa mahenge kwa kipindi kirefu wakija anakua njema kumbe manjagu walikua wanawalia timing wawaue wote huko mahenge walikaa kimya mpaka Sinza ilipolipuka nao wakajitokeza...
 
Nishawahi kusumbuana naye huyu
Alikuwa mkuda balaa bila kuwa na tag
Angenimaliza Hahaha

Sjui alingia vp mkenge kwenye kesi hii
Maana alikuwaga anasimamia Sana kazi
Yake,ukitaka kmpeleka kule hapokei
Labda kama alikuja badilika

Ova
ndio uweke akiba ya maneno,maisha haya yana mambo mengi mno.

sio unahukumu kindezi mtu unayemjua kama hao wapuuzi wengine.

polisi wana visa vingi vya kujifunza,lakini hili la bagemi ni ukiritimba tu.
 
Mkuu angalia chanel ya hiyo case ndo utajua aliingiaje,
Hii ilianzia juu kwa wakubwa wake wa kazi maboss zake kina zombe,
So ni either uwe nasi ule mema ikitiki,
Au utukatae tukupoteze.
Hivi nani walikuwa ma boss zake na Zombe!?
 
Mkuu,waerevu kwenye jeshi la polisi ni wa kuhesabu.
Si nasikia wanafanya kazi kwa amri!? Sasa huo uwerevu utatoka wapi!? Na hata kama ni mwerevu lakini Kesha pewa amri ya kipumbavu,hata yeye nafsi inakua inamsuta,lakini afanyeje,lazima atekeleze amri aliyopewa na Wakubwa zake!! Au siyo hivyo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…