Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Jamaa alikuwa muongo sanaMtu mmoja alisikika akisema inamshinda kutia saini mtu anyongwe,cha ajabu anashindwa kutia saini muuaji anyongwe lakini yeye anaua wale wanaomkosoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alikuwa muongo sanaMtu mmoja alisikika akisema inamshinda kutia saini mtu anyongwe,cha ajabu anashindwa kutia saini muuaji anyongwe lakini yeye anaua wale wanaomkosoa
Nilikutana na binti yake anakibanda cha tigopesa. Wakati natoa pesa jina likasoma Bageni nilimuuliza akakiri kuwa ni baba yake.Shetani mwenyewe amegoma kuwa na ushirika nao.Bageni is a very lonely monster!
ukute jela amekutana na aliowapeleka😅, ila huyu mzee kwa mujibu wa taarifa niliyopewa na watu wa Daslamu alikuwa mpiga deal hivo basi kuna uwezekano leo angestaafu akiwa na pesa nyingi sana nje ya mafaoIla majuto ni mjukuu. Najua atakuwa anajutia sana kwa haya yanayotokea kwani hana kampani tena huko gerezani. Tutende haki kwa nafasi zetu, nafasi hutuacha, nafsi ipo na wewe. Ndo maana ukitaka kutenda lisilo haki nafsi hukusuta na kukukumbusha kuwa hili matunda yake mabaya utakuja kuyala, tena ukiwa huna mamlaka uliyonayo.
lazima anajisikia vibaya sanaNilikutana na binti yake anakibanda cha tigopesa. Wakati natoa pesa jina likasoma Bageni nilimuuliza akakiri kuwa ni baba yake.
Baada ya stori mbili tatu nilimuonea huruma sana.
Mkuu vibaya sana.. nilitaka kuka'approach nimemuonea huruma sasa hivi kaback kama mdogo wangu.lazima anajisikia vibaya sana
Mchawibsana yule.Zombe ....
Mjanja mno..
kweli hapo lazima upatwe na huruma lakini walikosea kuifuatilia hiyo kesi wao wangetulia tu wa save hiyo hela maana Mzee wao alikwama pakubwa mnoMkuu vibaya sana.. nilitaka kuka'approach nimemuonea huruma sasa hivi kaback kama mdogo wangu.
Anasema maisha yao yalikuwa bomba kesi imewafilisi kabisa hakuna walichonacho.
Mahita hana la kujifunza hapa, Mzee wake inasemekana hawa kina zombe na wenzie walikuwa "vijana" wake so ukute mzee wake alipata mgao pia, kwa waliokuwepo mjini miaka hiyo wanadai mzee wake Mahita alikuwa zaidi ya mwanae kwenye "ma deal@Hapa kingai, jumanne, goodluck na mahita kuna la kujifinza.
Kama ni hivyo inasikitisha😢😷Mahita hana la kujifunza hapa, Mzee wake inasemekana hawa kina zombe na wenzie walikuwa "vijana" wake so ukute mzee wake alipata mgao pia, kwa waliokuwepo mjini miaka hiyo wanadai mzee wake Mahita alikuwa zaidi ya mwanae kwenye "ma deal@
Kuwakuta aliowapeleka hiyo ina asilimia kubwa sana. Kama kwao kuua ili wapore hela za watu wasio na hatia ilikuwa rahisi, vipi kumfunga mtu, au hata kumbambika makosa makubwa kama mauwaji ili either afungwe maisha au anyongwe kabisa. Damu zisizo hatia walizozimwaga zitalia daima kutoka ardhini wakitaka hukumu kwa Mungu.ukute jela amekutana na aliowapeleka😅, ila huyu mzee kwa mujibu wa taarifa niliyopewa na watu wa Daslamu alikuwa mpiga deal hivo basi kuna uwezekano leo angestaafu akiwa na pesa nyingi sana nje ya mafao
nasikiaga hichi ulichosema ni kweli ukimuua mtu nafsi yake inakuliliaKuwakuta aliowapeleka hiyo ina asilimia kubwa sana. Kama kwao kuua ili wapore hela za watu wasio na hatia ilikuwa rahisi, vipi kumfunga mtu, au hata kumbambika makosa makubwa kama mauwaji ili either afungwe maisha au anyongwe kabisa. Damu zisizo hatia walizozimwaga zitalia daima kutoka ardhini wakitaka hukumu kwa Mungu.
Anafanyia Maeneo gani nikamuungishe mkuu?Nilikutana na binti yake anakibanda cha tigopesa. Wakati natoa pesa jina likasoma Bageni nilimuuliza akakiri kuwa ni baba yake.
Baada ya stori mbili tatu nilimuonea huruma sana.
Sii mjanja bali , kesi haikuwa files vizuri ,Zombe ....
Mjanja mno..
Zombe alichomoka kwa kuwa alishitakiwa kwa mauaji na ilhali yeye hakuwepo eneo la tukio ,Mpaka leo nashindwa kuelewa Zombe kachomokaje kwenye hili sakata aisee.
Sii mjanja bali , kesi haikuwa files vizuri ,
Zombe alichomoka kwa kuwa alishitakiwa kwa mauaji na ilhali yeye hakuwepo eneo la tukio ,
Kama angeshitakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyosababisha mauaji , hadi leo hii angekuwa ndani.
nasikiaga hichi ulichosema ni kweli ukimuua mtu nafsi yake inakulilia