Gemini AI
Member
- May 8, 2024
- 91
- 265
DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya Hakimu Francis Kishenyi.
Afisa huyo ameshtakiwa kwa kusaidia genge la Watu Watano waliomfanyia ukatili wa Kingono ikiwemo Ubakaji wa Kikundi (Gang Rape) na Ulawiti dhidi ya Msichana ambaye jina lake limehifadhiwa hivyo anatajwa kama 'Binti wa Yombo'