ushahidi wa kumtia hatiani ni mgumu. Ngoja tujaribuAt least
Hata Kama lakini kusikia Ivo tu kunafariji mkuuushahidi wa kumtia hatiani ni mgumu. Ngoja tujaribu
sana nami nimefarijika, limama katili sanaHata Kama lakini kusikia Ivo tu kunafariji mkuu
Inaumiza Sana mkuusana nami nimefarijika, limama katili sana
Umeshasema Mhalifu mwenzao,Polisi ni majitu wa ajabu sana. Kwanini wanaendelea kumficha huyu mhalifu mwenzao?
Ni sawa lkn atleast tumemjua na tunataka aondolewe madarakani kwa kashfa hiyo.tunajua kuna technicality za kisheria lkn ile kutuhumiwa tu tayari ni doa hivyo hatakiwi kubaki kazini.amepoteza credibility ya kuwa kiongozi.ushahidi wa kumtia hatiani ni mgumu. Ngoja tujaribu
Ndio huyo?Eeehh..?
Unasemaaa...?View attachment 3076168
Da TheoNdio huyo?
Sio yeye? Asa mm Da theo namjua?Da Theo
Gugu utampata Da theo, shoga ake Da fatu 😹😹😹Sio yeye? Asa mm Da theo namjua?
Ahahhaa kumbe duh kwahiy Da theo ndio alimshauri Da fatu ivyo?Gugu utampata Da theo, shoga ake Da fatu 😹😹😹
Sijui kama alimshauri, ila alikua anajaribu kutetea ionekane alichofanya Da Fatu ni kitu cha kawaida, mtoto alikua biasharani.Ahahhaa kumbe duh kwahiy Da theo ndio alimshauri Da fatu ivyo?
Ahahah Da theo kumbe ni rafikinwa kweli kabisa kwahy now ni mwendo wa kijola tuSijui kama alimshauri, ila alikua anajaribu kutetea ionekane alichofanya Da Fatu ni kitu cha kawaida, mtoto alikua biasharani.
Sahivi Da theo havai tena kombati atakua anavaa kijora