K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Aug 22, 2024 #21 Retired said: ushahidi wa kumtia hatiani ni mgumu. Ngoja tujaribu Click to expand... kama hujui vitu kaa kimya, na mnapoambiwaga msigawe NIDA zenu kusajilia namba watu ndohapoo
Retired said: ushahidi wa kumtia hatiani ni mgumu. Ngoja tujaribu Click to expand... kama hujui vitu kaa kimya, na mnapoambiwaga msigawe NIDA zenu kusajilia namba watu ndohapoo
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 22, 2024 #22 Mwanahalisi alipepesi kalamu:- "Afande aliyewatuma watu wa5 waliombaka na kumlawiti binti wa Yombo huyu hapa"
Mwanahalisi alipepesi kalamu:- "Afande aliyewatuma watu wa5 waliombaka na kumlawiti binti wa Yombo huyu hapa"
tpaul JF-Expert Member Joined Feb 3, 2008 Posts 24,225 Reaction score 22,632 Aug 22, 2024 #23 John Wickzer Mulholland said: Umeshasema Mhalifu mwenzao, Je, meno ya mbwa yanaweza kuumana?? Click to expand... Wanamlinda. Ndio maana wanasheria wame bypass serikali na kuwapeleka mahakamani
John Wickzer Mulholland said: Umeshasema Mhalifu mwenzao, Je, meno ya mbwa yanaweza kuumana?? Click to expand... Wanamlinda. Ndio maana wanasheria wame bypass serikali na kuwapeleka mahakamani
mgen JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 23,169 Reaction score 9,054 Aug 22, 2024 #24 Retired said: ushahidi wa kumtia hatiani ni mgumu. Ngoja tujaribu Click to expand... Hili nalo NENO. Kwenye picha anacheka ANAONA aliye mshitaki Anatwanga maji atalowana #@&_"*πππ
Retired said: ushahidi wa kumtia hatiani ni mgumu. Ngoja tujaribu Click to expand... Hili nalo NENO. Kwenye picha anacheka ANAONA aliye mshitaki Anatwanga maji atalowana #@&_"*πππ