Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Kwa nchi za Dunia ya tatu ni kawaida, Rais anaonekana kama vile ni Mungu mtu, ila kwa nchi za Dunia ya kwanza huwezi kuta upuuzi wa namna hiyo
Na hii wanayosema kila wakati kuwa wao wanalinda RAIA na MALI zao ,sasa kuna raia yupo mahututi ndani ya mabulance na kuna raia mzima wa aya ila tu ni kiongozi qa kisiasa ambaye naye huyo kiongozi wa kisiasa yupo hapo amewekwa na mwananchi anatumikia wananchi(boss wake no mwananchi)Afande ameapa kulinda Rais sio kulinda wagonjwa sheikhe!
Heshima maadili ya KAZI za wenzako
umenena ukweli..sijui kwanini watu wanamuabudu mwanadamu mwenzao badala ya kumuabudu MUNGU..so sadKwa nchi za Dunia ya tatu ni kawaida, Rais anaonekana kama vile ni Mungu mtu, ila kwa nchi za Dunia ya kwanza huwezi kuta upuuzi wa namna hiyo
Kwa tz labda kwa wenzetuAfande ameapa kulinda Rais sio kulinda wagonjwa sheikhe!
Heshima maadili ya KAZI za wenzako
Exactly 💯Kwa nchi za Dunia ya tatu ni kawaida, Rais anaonekana kama vile ni Mungu mtu, ila kwa nchi za Dunia ya kwanza huwezi kuta upuuzi wa namna hiyo
Afande akili yake imeganda kwa raia namba mojaAfande ameapa kulinda Rais sio kulinda wagonjwa sheikhe!
Heshima maadili ya KAZI za wenzako
Sheria inasemajeAfande ameapa kulinda Rais sio kulinda wagonjwa sheikhe!
Heshima maadili ya KAZI za wenzako
Kwa tz labda kwa wenzetu
Kiongozi anawekewa ulinzi
Ambulance inapita kwanza
Ova
Hicho kiapo kishapitwa na wakat kubadilishweKile kiapo cha jeshi na askari ukikisikiliza utaelewa malengo makuu ya kazi ya uaskari kwa hapa Tz
AiseeAfande amesema itakapotea msafara wa Rais ukakutana na gari ya kubeba wagonjwa basi msafara wa Rais utaendelea ila gari ya wagonjwa itasimamishwa.
Na amesema kwa sekunde hizo aziwezi kuondoa uhia wa mgonjwa na hata akifariki basi itakuwa siku yake imefika. Maana wao wapo kwaajili ya kumlinda Rais wakati wote
View attachment 3559127