Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 183
police force role yake ipo wazi sana haihitaji ugumu wakufikiri kama madaktari,lakini hapa kwetu inapoteza mashiko kabisaa
To follow the guy's step?.....haaaaaaah,haaaaaaaa......kweli kazi ipo kuifikia ile Tz tunayoitaka.sm1 is already assigned to follow up your steps.
Mkuu naomba kutofautiana nawe hapo juu. Kazi hii yahitaji kufikiri sana kama zilivyo kazi zozote zinazo-engage intellectual faculties. Matokeo ya kutokufikiri nadhani yanayaweza kuwa na matokeo mabaya zaidi katika kazi hii. So jeshi letu wa engage katika kitu hiyo ya kusoma mazingira, kuyapima na kufanya kazi yao kama unavyo washauri.
utakuwa chini ya ulinzi, naomba ufute hii post
utakuwa chini ya ulinzi, naomba ufute hii post
unamaanisha yule bwana mwenye makengeza? Yule Jambazi tu!
Mbona wamemuwachia wakati wametumia gharama nyingi? Kwa hili unasemaje FaizaFoxy?
Faiza hivi wewe ni Mtz kweli na unalipa kodi wewe?Mimi ninanapata tabu kuupata ukweli juu ya u-citizenship wako maana sioni kama unauchungu na nchi hii, kwa jinsi matumizi ya fedha ambazo ni kodi zetu zinatumika isivyosahihi na katika hali ngumu ya maisha kama hii.....eh??Wamemuchia kabla ya kumsweka ndani kumpeleka mahakamani? au sijakuelewa? kama unaongelea gharama, hapo ndio uelewe maana ya dola kuwa na mkono mrefu, dola ikitaka kutimiza lake hakuna kutazama gharama. Ukivunja amri unaswekwa ndani tu.
Faiza hivi wewe ni Mtz kweli na unalipa kodi wewe?Mimi ninanapata tabu kuupata ukweli juu ya u-citizenship wako maana sioni kama unauchungu na nchi hii, kwa jinsi matumizi ya fedha ambazo ni kodi zetu zinatumika isivyosahihi na katika hali ngumu ya maisha kama hii.....eh??
Toa sababu nini kimekugusa hapa kwenye hii post. Tulianza na ujima ikafuata utumwa halafu ubeberu halafu ubepari na mwisho wakasema kuna ujamaa, sasa wewe upo wapi? Acha udikteta wako ingia kwenye dunia ya kisasa, ulimwengu umebadilika.