Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 183
kwani polisi si ni mbwa wa ccm
mbwa wako unaweza kumwagiza jambo lolote na kwa wakati wowote
mbwa humsikiliza mwenye mbwa pekee
hata kama anaenda kuchinjwa yeye yumo tu
inafedhehasha sana lakini ndo hali halisi