Anayejimwambafai ni yule anajiona kafanya mengi eti bila yeye hajui nchi ingekuwaje. Upuuzi mtupu. Ila hongereni nyie mnaoona poa uvunjifu wa sheria.Tito alijimwambafai acha alale seroo hadi jtatu kama ni jinai acha aibebe tu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk kitu cha kipumbavu awamu ya tano wanafanya ni kutekana. Inaonekana huwa hawana hoja ktk kutetea mambo yao.Watanzania hebu kataeni huu upumbafu wa Bashite na baba yake mhutu.
Reveal your identity na wewe kama ni rahisi kihivyo mbele ya kuuawa. Inahitaji process. India nadhani wameshafikia kama 100 waliokufa juzi kwenye maandamano ya kupinga sherai inayowabagua waislamuHivi vyama vya siasa vimeshindwa kabisa kuhamasisha wananchi kuandamana kwa amani kushinikiza Serikali juu ya haya maonevu ya wazi kwa Watanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anakuamini?Katika watu ambao sitakaa niwaamini wanacho ongea kwa midomo yao, kama vina uhusiano na bongo zao ni huyu kamanda!!!
Ungemuuliza yeye. Mimi nimetoa msimamo wangu!!!