PreGE2025 Afande Muliro asema Polisi wanasubiri majibu ya Father Kitima kwa maandishi ili kuendelea na shauri lake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Hivi katika lile shambulio tuseme Father Kitima na siombei lakini tuseme angepoteza maisha, kwa hiyo ndo kesi ingeishia hapo hapo isingeendelea?

Anyway,

=================================

Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu (TEC), Padri Kitima ashumbuliwe, Jeshi la Polisi limeeleza hatua ilipofikia katika kufuatilia uchunguzi wa tukio hilo.

Padri Kitima alishambuliwa Aprili 30, 2025, majira ya saa nne usiku, katika makazi na Makao Makuu ya Baraza hilo yaliyopo Kurasini Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Akizungumza leo Jumamosi Mei 31, 2025 na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro kuhusu hali ya matukio mbalimbali ya kiuhalifu yaliyotokea kwa miezi miwili jijini humo, pia aligusia suala la Padri Kitima na hatua walioyofikia.

Kamanda Muliro amesema ni jukumu la kisheria kuhakikisha wanapata maelezo ya Padri kitima ya kimaandishi.

Kamanda Muliro amesema wakati ule tukio lilipotokea ilikuwa vigumu mtu akiwa anaumwa ukaanza kutumia njia ya kutaka kupata maelezo kutoka kwake.

Angepoteza maisha upepelezi wangefanyaje
 
Inahitaji akili ya mwendawazimu kumuamini huyu mzee J4muliro
 
Nikiwa siina kosa lolote katika ofisi zooote nilizofika hakuna ofisi niliyoichukia na niliyohudumiwa vibaya kama polc!! Kuanzia matusi,kuonewa,kunyang'anywa funguo zangu,kutishiwa kupigwa,kudaiwa daiwa kitukidogo...
I hate their office hata kama ninahaki!!
 
Nchi ina wapumbavu wengi sana.... Yaani unamsubiri mtu aliyeshambuliwa akwambie utafute waliotaka kumua?. Hii ni wazi wanatengneza vitisho dhidi ya yake..kwa harakaharaka ni wazi serikali inahusika ndio maana wanamwekea mtego huu!!. Angekufa hayo maandishi wangeyapata kwa nani na kazi ya polisi ni ipi?.
 
Back
Top Bottom