Angepoteza maisha upepelezi wangefanyajeIkiwa imepita mwezi mmoja tangu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu (TEC), Padri Kitima ashumbuliwe, Jeshi la Polisi limeeleza hatua ilipofikia katika kufuatilia uchunguzi wa tukio hilo.
Padri Kitima alishambuliwa Aprili 30, 2025, majira ya saa nne usiku, katika makazi na Makao Makuu ya Baraza hilo yaliyopo Kurasini Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Akizungumza leo Jumamosi Mei 31, 2025 na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro kuhusu hali ya matukio mbalimbali ya kiuhalifu yaliyotokea kwa miezi miwili jijini humo, pia aligusia suala la Padri Kitima na hatua walioyofikia.
Kamanda Muliro amesema ni jukumu la kisheria kuhakikisha wanapata maelezo ya Padri kitima ya kimaandishi.
Kamanda Muliro amesema wakati ule tukio lilipotokea ilikuwa vigumu mtu akiwa anaumwa ukaanza kutumia njia ya kutaka kupata maelezo kutoka kwake.
Aseme sasa ili Gwaji awe mtetezi wakeAu polisi wamekutana na kile kikundi alichokisema Gwajima ?😏
MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KUACHA KAZI YA LAANA KAMA HIIKati ya kazi za kipumbavu nilizowahi kufanya nchi hii ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania, namshukuru Mungu nilikuja kuacha kwa hiari kwa kutoa notisi ya masaa
Inahitaji akili ya mwendawazimu kumuamini huyu mzee J4muliroWakuu,
Hivi katika lile shambulio tuseme Father Kitima na siombei lakini tuseme angepoteza maisha, kwa hiyo ndo kesi ingeishia hapo hapo isingeendelea?
Anyway,
=================================
Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu (TEC), Padri Kitima ashumbuliwe, Jeshi la Polisi limeeleza hatua ilipofikia katika kufuatilia uchunguzi wa tukio hilo.
Padri Kitima alishambuliwa Aprili 30, 2025, majira ya saa nne usiku, katika makazi na Makao Makuu ya Baraza hilo yaliyopo Kurasini Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Akizungumza leo Jumamosi Mei 31, 2025 na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro kuhusu hali ya matukio mbalimbali ya kiuhalifu yaliyotokea kwa miezi miwili jijini humo, pia aligusia suala la Padri Kitima na hatua walioyofikia.
Kamanda Muliro amesema ni jukumu la kisheria kuhakikisha wanapata maelezo ya Padri kitima ya kimaandishi.
Kamanda Muliro amesema wakati ule tukio lilipotokea ilikuwa vigumu mtu akiwa anaumwa ukaanza kutumia njia ya kutaka kupata maelezo kutoka kwake.
Pumbavu kabisa mtu yupo kitandani
Angekuwa ni Wambura ndiye alishambuliwa mngesubiri maandishi yake
Pmbv police wote Tanzania pmbv