PreGE2025 Afande Muliro asema Polisi wanasubiri majibu ya Father Kitima kwa maandishi ili kuendelea na shauri lake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa Kwa Mdude ambaye haonekani maelezo yake itakuwaje?
 
Huyu Muliro amefukua makaburi ya zamani. Kule ICC atasema yote.

Kuna picha ya CCM nimeona inatrend huku tandaoni asubuhi. Jioni anajitokeza Muliro.

Kweli wamebanwa sawa sawa. Kila mmoja anajinasua kivyake sasa.
 
Je?? kama angekufa?
 
Angekuwa Abdul Samia Suluhu Hassan wangesema hivyo? Ndiyo hoja ya Gwajima.
 
Watanzania ndo wapumbavu haya manyang’au yamefikia muda wa kuingiza madole usoni .
 
Amesema hayo ni baada ya kuona hii picha na malalamiko ya Wapenda amani.


Alaaniwe na kizaze chake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…