Afande Muliro kwani hili haliwezekani kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja. Kwanini mlimkamata usiku wa manane?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nina uhakika, naweza kusema hivyo, kama ungelimpigia simu kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja.

Kwanini mnamkamata usiku wa manane .....Was there a need to arrest him at midnight?

Yes, he is a criminal suspect, but I guess his criminality is not that "grave" to warrant arrest at midnight and, worse, denying him bail!

Soma Pia: Jeshi la Polisi: Tumemkamata Dkt. Slaa, tunamhoji na kuangalia mifumo ya Sheria inatuelekeza nini cha kufanya

Mimi simpendi katika mapambano ya demokrasia kwa sababu alisaliti mapambano ya demokrassia aliporubuniwa na Magufuli, lakini atendewe haki na umri wake kumlaza sakafuni
 
Polisi wa Tanzania wamejengwa katika Vitisho na kutesa, ni polisi wa Analog, wenye kuamini katika vitisho, ndio maana wakisikia maandamano wanafanya mazoezi barabarani

Chadema ikitwaa Nchi itavunjilia mbali jeshi hilo na kuliunda upya, huku baadhi ya Maofisa wake wakikamatwa na kushitakiwa
 
Dr. Slaa

Guru wa CHADEMA

Hata akiwania leo kura atazipata nyingi tu

Ila kama ni na PM hawezi mshinda 🤣🤣🤣
 
Nina uhakika, naweza kusema hivyo, kama ungelimpigia simu kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja.

Kwanini mnamkamata usiku wa manane .....Was there a need to arrest him at midnight?

Yes, he is a criminal suspect, but I guess his criminality is not that "grave" to warrant arrest at midnight and, worse, denying him bail!

Mimi simpendi katika mapambano ya demokrasia kwa sababu alisaliti mapambano ya demokrassia aliporubuniwa na Magufuli, lakini atendewe haki na umri wake kumlaza sakafuni
Marekebisho;
1. Slaa hakusaliti mapambano bali..
2. Mbowe alimsaliti kwa kumleta fisadi.

Slaa alikuwa radhi kuuza supermarket Canada ili aishi lkn sio kula matapushi ya mwembe..yanga
 
Nina uhakika, naweza kusema hivyo, kama ungelimpigia simu kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja.

Kwanini mnamkamata usiku wa manane .....Was there a need to arrest him at midnight?

Yes, he is a criminal suspect, but I guess his criminality is not that "grave" to warrant arrest at midnight and, worse, denying him bail!

Soma Pia: Jeshi la Polisi: Tumemkamata Dkt. Slaa, tunamhoji na kuangalia mifumo ya Sheria inatuelekeza nini cha kufanya

Mimi simpendi katika mapambano ya demokrasia kwa sababu alisaliti mapambano ya demokrassia aliporubuniwa na Magufuli, lakini atendewe haki na umri wake kumlaza sakafuni
Wakukamatea usiku ninani nakwanini asiwe yeye?
Msaliti na roporopo asiachwe atoe ushahidi
 
Nina uhakika, naweza kusema hivyo, kama ungelimpigia simu kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja.

Kwanini mnamkamata usiku wa manane .....Was there a need to arrest him at midnight?
Kwa sababu ya ushenzi tu wa hawa watu, primitive and uncultured police force!
 
Mbowe ndiyo kasuka njama zote za kumkata Slaa kwa nia ya kuidhoofisha kambi ya Lisu
 
Unadhani waliokuwa na pikipiki hizo zilizojaa hadi kwenye vilabu vya gongo ni ccm?

Nyingi ni bodaboda kote nchini
Hoja ziko nyingi, kumbe Mwenyekiti alisema UONGO kwamba Wanachama wamekuja kumuomba agombee wakati sio kweli ni yeye ndiye aliyewaita nyumbani kwake na kuwalipia usafiri na chakula.
 
Nina uhakika, naweza kusema hivyo, kama ungelimpigia simu kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja.

Kwanini mnamkamata usiku wa manane .....Was there a need to arrest him at midnight?

Yes, he is a criminal suspect, but I guess his criminality is not that "grave" to warrant arrest at midnight and, worse, denying him bail!

Soma Pia: Jeshi la Polisi: Tumemkamata Dkt. Slaa, tunamhoji na kuangalia mifumo ya Sheria inatuelekeza nini cha kufanya

Mimi simpendi katika mapambano ya demokrasia kwa sababu alisaliti mapambano ya demokrassia aliporubuniwa na Magufuli, lakini atendewe haki na umri wake kumlaza sakafuni
Wanakimbiaga nchi Hao sometimes
 
Watu wakupewa maagizo,itakua ilipigwa simu kwa muliro kwamba nendeni mkamkamate yule mzee, akaamka kitandani, akageuka kumuangalia mama nanii😎akaenda bafuni akanawa uso akashika simu akatoa maelekezo nae akachukua gari kufatilia operation huku nafsi ikiwa na masononeko😡.bila shaka alirudi alfajiri akiwa na usingizi mwingi huku akitakiwa kuoga TU na kurudi ofisini tena🤔.kazi ngumu sana😎
 
Marekebisho;
1. Slaa hakusaliti mapambano bali..
2. Mbowe alimsaliti kwa kumleta fisadi.

Slaa alikuwa radhi kuuza supermarket Canada ili aishi lkn sio kula matapushi ya mwembe..yanga
Sweden nako vipi?
 
Kwani Lowassa alidumu Chadema?

Msaliti ni yule aliyewaleta akina Dr Mollel na Mwambe kuja kutumia Chadema kama ngazi ya kupatia Ubunge 😂
 
Nina uhakika, naweza kusema hivyo, kama ungelimpigia simu kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja.

Kwanini mnamkamata usiku wa manane .....Was there a need to arrest him at midnight?

Yes, he is a criminal suspect, but I guess his criminality is not that "grave" to warrant arrest at midnight and, worse, denying him bail!

Soma Pia: Jeshi la Polisi: Tumemkamata Dkt. Slaa, tunamhoji na kuangalia mifumo ya Sheria inatuelekeza nini cha kufanya

Mimi simpendi katika mapambano ya demokrasia kwa sababu alisaliti mapambano ya demokrassia aliporubuniwa na Magufuli, lakini atendewe haki na umri wake kumlaza sakafuni
Kama yeye hauthamini uzee wake na kuanza kuropokaropoka ulitaka wampeleke Serena Hotel?
 
Ni swali zuri ila ili upate majibu unatakiwa ukamuulize ofisini kwake
 
Back
Top Bottom