GE2025 Afande Muliro: No Reforms No Election haipo kisheria, haiwezekani kabisa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Huyu tumuache tu maana siku zake zinahesabika
 
Wa mwachie Lisu basi ili aendelee kujifurahisha na No Reforms No Election kama wanaona haina maana kwao.
 
Kamanda Muliro anasumbuliwa na uchawa. Siyo kwamba hajui mantiki na muktadha wa No reforms no election
 
..katika uchaguzi kuna Legality vs Legitimacy.

..kiongozi anaweza kuwa madarakani kisheria, lakini akakosa uhalali.

..Muliro alivyo mjinga haoni tatizo na hatari ya kulinda vjongozi na mifumo iliyokosa uhalali.

..Ni bahati mbaya sana kwamba Muliro hajui kuwa Reforms au Sheria nzuri na za HAKI ni msaada hata kwake yeye mwenye jukumu la kusimamia sheria.
 
Hii Muliro hamna kitu kabisa kichwani. Kwani October tunatiki IPO kisheria?
Huyo hamnazo kichwani, fikiria wengi wanamjua. Anaenda na magwanda yake kwa hawa matajiri kuomba pesa, ni akili hizo? Sasa anajifanya yeye ndiyo anajua sheria. Hakuna anachojua kakariri kupinga, kupiga kila mpinzani atakachosema. Jinsi sura lake lilivyo, ndivyo na akili zake zilivyo.
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Muliro aiangalie hali ya sasa ya Mahita
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Tukishachukua nchi watakwenda kula walukopeleka mboga
 
Tatizo laCHADEMA ni kuchanganya kushinda kwao (kwa sababu ya sera mbovu na matusi) na matatizo mschache us kiutenfaji. Sheria Iko sawa, watendaji hawaifisti, dawa yake si Katiba MPYA, ni sera nzuri na kuzinadi vizuri. Time ya Uchaguzi Ina watu 7, kura zao ni 7.hawawezi kuzuia wapiga kura 900,000 wa Kinondoni ampe mwenye kura 65,000. Uchaguzi wa 2020 ulikuwa huru watu walishachoka na CHADEMA baada ya Magufuli kuwafungus macho mathalani Halima Mdee kupiga kura kukataa bajeti ya kuendelea Kawe. Kura za kwanza kutangazwa zilikuwa za Mbowe na Lema na Heche na Halima, walishindwa totally.
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Kamanda wa polisi Kanda maalum ya Dar es salaam kugeuka kuzungumzia polisi nchi nzima siyo sawa na vipi kuhusu "oktoba tunatiki", iko kisheria?
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.

Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.

Ulitegemea jibu gani kutoka kwake?
 
Back
Top Bottom