Huyu tumuache tu maana siku zake zinahesabikaKamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.
Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.
Anazungumza kama Kamanda kanda maalum Dar es salaam au kama Muliro?
Huyo hamnazo kichwani, fikiria wengi wanamjua. Anaenda na magwanda yake kwa hawa matajiri kuomba pesa, ni akili hizo? Sasa anajifanya yeye ndiyo anajua sheria. Hakuna anachojua kakariri kupinga, kupiga kila mpinzani atakachosema. Jinsi sura lake lilivyo, ndivyo na akili zake zilivyo.Hii Muliro hamna kitu kabisa kichwani. Kwani October tunatiki IPO kisheria?
Muliro aiangalie hali ya sasa ya MahitaKamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.
Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.
Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.
Kamanda wa polisi Kanda maalum ya Dar es salaam kugeuka kuzungumzia polisi nchi nzima siyo sawa na vipi kuhusu "oktoba tunatiki", iko kisheria?Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.
Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema polisi kama walinzi wa sheria watahakikisha sheria zinafuatwa.
Ulitegemea jibu gani kutoka kwake?Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.