Afande Muliro: Ukivuruga paredi la Yanga tutakushughulikia

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Safari hii makolo mmeingia cha kike, yaani tukikuona tu unazurula na jezi lako la Mo Xtra kwenye paredi la ubingwa wa Yanga tutakushughulikia ipasavyo maana utakuwa unahatarisha furaha ya wananchii.

Ubuntu botho๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Hakuna timu duniani iliyowahi kukaa top muda wote, tambeni tu ila msije sema hatukuwaambia
Mkuu, tuache kujifariji! Hawa Utopolo, wanafanya vizuri. Nasi wahusika, wajue ni sisi wenyewe tumewapa hawa jamaa jeuri hiyo. Nafasi ya kuzuia huo USHAMBA tunao wenyewe! Tusipotatua "matatizo yetu", wataendelea kututesa!
 
Washughulikiwe kisawasawa

Ubuntu botho
 
Kama mmekaa hamboreshi timu mkutegemea kuna siku tutashuka bila nyie kufanya jitihada za kupanda. Msahau kabisa

Tutapiga misimu 10 mfululizo
Simba walisema watapiga 10 wakaishia4, nyie ndio kwanza mko msimu wa tatu kelele kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ