Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila na BANGI nazo zinamchochea kuwa muumini wa jua!
Wazo la afande sele halitofautiani na MTU MMOJA ALIYESEMA JEHANAMU NI JUA. ..
Ukifikiria kwa makini utakubali due to the fact that JUA ni moto unaowaka milele.
So jehanamu tunaiona kila siku ilichobaki ni kuwekwa humo tu
Yule nguli wa muziki kutoka mji kasoro bahari, Mfalme pekee wa rhymes, anayependa kujiita simba dume, Selemani Msindi au Afande Sele ameama kuachana na uisilamu na sasa Mungu wake ni jua
Amedai baada ya kufikiria muda mrefu ameona aimwabudu mungu ambaye hamwoni wala hajawi ku experience uwepo wake, na kwamba ameona kwa kua Jua ndio chanzo cha kila kitu kuanzia chakula, pia jua lipo kila mahali basi hilo ndio litakuwa Mungu,
pia amesema ameacha wosia kuwa atakapoufa achomwe moto
msikilize hapa kwa undani zaidi
Naweza kupata chanzo cha hii habari yako?Nakumbuka kuna siku clouds FM walikuwa wanamuhoji jamaa mmoja ambaye alienda south Africa kutafuta maisha baadae alishwashi kujiunga na Freemasonry na kuchumwa muhuri Wa moto ktk panja ambao ulimtea matatzo ya mguu baade.
Nakumbuka jamaa alisema mmongoni mwa wamasonia Wa bongo ambao alikutana nao SA na hapo bongo lodge zao huyu MTU.
Watu wakapinga sana yule jamaa ila inawezeka alichokisema jamaa kilikuwa kina maanisha
Kama unatania basi you are very funnyNa mungu pia aliumbwa na mungu
maneno kuntu, nadhani kama kijana atasoma na kuzingatia uliyosema atapata Akili, kwani wakati mwingine Bangi ni mbaya sana.Hajui kwamba vyote vilivyomo ni mali ya Mungu.. Hilo jua analoliabudu nalo liliumbwa na Mungu
Kama vile itasaidia!Kuanzia leo sinunui kazi zake tena, na nilizonazo naenda kuchoma moto....!
Na hata kule kwingine yaani upande wa Pili hajapachagua kwasababu kumejaa ndoa za Mashoha [emoji129]Ana Uhuru huo, kule wanachinjana sana na kujilipua