Muumbaji wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake, yeye ndiye anayetoa jua Mashariki hadi Magharibi na wala hana mshirika wake,ana majina yenye sifa tofauti zaidi ya 99.Kwa mujibu wa kitabu chake kitakatifu(Quran)ndivyo nitakavyozikwa.
Ngoja wenye imani waje,me naona bange inampeleka pabaya
Bangi nibangueWatu wengine wehu,ivi ni laana au nini huyu Kijana au ndio hizo Kiki!
Bila mkuki moyoni ,utakua hujamtendea haki AfandeMi ninachojua na kuamini ni kwamba Afande Sele ni msanii mzuri sana na baadhi ya nyimbo zake kali na zenye madundisho ni hizi hapa....
Mtazamo ft Solo Thang and Prof. J
Darubini kali ft Watu pori
Heshima
Mayowe
Mbele yako ft 20%
Mtu na Pesa
Ndugu zangu
Nafsi ya mtu
Karata dume
Kingdom
Dini tumeletewa ft Belle 9
Miaka kumi ya Rap
Sasa mpendwa laana kivipi hapoWatu wengine wehu,ivi ni laana au nini huyu Kijana au ndio hizo Kiki!
Mjombaaaa, walimuhoji redio gani? Unaweza tuletea evidence mjomba?afande ana vuta sana bange alihojiwa majuzi tu redioni aka kiri yeye huwa ana puliziamo sana bange huenda ndo zina mfanya mpaka kuongea ivo na kuvua nguo majukwani!?
Snoop alishindwa misingi na nguzo za imani ya rasta,Nahisi marasi wana tatizo sana,mwaka juzi hivi Snoop alienda kufanya tour Jamaica kujua chimbuko la Rastafarians,akabadili hadi jina ,juzi tu kabadilika tena kawa mwislam,...vivo hiyo kwa afande sele alikuwa chadema akaja ATC wakati wanajua ukiwa rasi hutakiwi uwe kiuongozi au kuchagua mtu akuongoze,sasa hivi anaongea tena mambo ya kuchomwa kitu ambacho ni tofauti na urastafarian