Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Nguzo zipi alishindwa ningependa kufahamuSnoop alishindwa misingi na nguzo za imani ya rasta,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguzo zipi alishindwa ningependa kufahamuSnoop alishindwa misingi na nguzo za imani ya rasta,
hahahaaaa,dah iyo kanuni namba 3 imenichekesha sn aise...ati watakuvunjia mayai1) USIFANYE UZINZI KAMA HUNA HELA HATA YA KONDOM UTAKUFA KWA UKIMWI
2) USINYWE POMBE KAMA HUNA HELA HATA YA TAKSI WATAKUVUNJIA MAYAI
3) USIVUTE BANGI KAMA HUNA HELA YA KULA VIZURI UTAKUWA MWEHU
HIZI KANUNI TATU NI KANUNI NZURI SANA UKIAMUA KUZIISHI
ReligionNguzo zipi alishindwa ningependa kufahamu
Usishtuke ni ganja inaongea!Watu wengine wehu,ivi ni laana au nini huyu Kijana au ndio hizo Kiki!
kama ndio inafanya hivyo basi awache...maana imeshaanza kumkataaa...Usishtuke ni ganja inaongea!
na kama akiliwa na mamba kivuko cha mto ifakara inabidi tumkamate uyo mamba nae tumchome moto??Na ikitokea akachomwa moto akiwa hai ? Ataomba msaada wa kuuzima ??