Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
Hahaha zilikua bangi tu
 
Afande mbona hakuyasema haya wakati Kanumba yuko hai ?? Huenda pengine angeokoa uhai wa Kanumba na Lulu angekuwa hata chuo kikuu na siyo gerezani.

NB: Ni maneno mazuri lakini anachofanya ni unafiki kwasababu marehemu hayupo! Kinga ni bora kuliko tiba!
Umenena vyema....huyo afande naye ni mnafiki kuliko hao anaowaona wanafiki.
 
Tatizo tumezoe a UNAFIKI na kupeana sifa za uongo mtu anapokufa. Ila hakuna aliposema kafurahia kifo cha Kanumba acha urongo na wewe.
Soma tena...

Shirikisha akili yako..usikurupuke.
 
FB_IMG_1510582999356.jpg
 
Inahitaji uwe na Hekina kuyaelewa maneno hayo.......Yote haya Lulu yanamkuta kwa sababu ya Marehemu Kanumba Kumtaka Unyumba Mtoto............Angekuwa Mwanao halafu ukasikia ameingiliwa na Libaba Lizima ungekuwa katika hali ipi.......??? Hiki ndicho Afande Sele anakikumbuka hadi leo..................!!!!! Lulu anahitaji kusaidiwa kwa vyovyote vile.........!! Mahakama ilipaswa kuangalia hili........!!!!
 
Usiku huo club Lulu alikuwa na nani!!??

Nani alimruhusu awe maeneo hayo usiku huo!??

Alimgusa Afande bega kwa nia gani!?

... Afande haoni kama huyu Lulu wazazi wake walishampindisha kimaadili hata kabla ya kukutana na Kanumba!?

Kwanini ajiweke upofu na Zigo lote kumtupia Marehemu..!?

Afande anasema anamchukia marehemu mpaka sasa..!? Wewe kama nani!? Wewe Mungu!?

Mungu anasamehe... Wewe Afande ni nani!!????
 
Back
Top Bottom