Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
Hahaha zilikua bangi tu
 
Umenena vyema....huyo afande naye ni mnafiki kuliko hao anaowaona wanafiki.
 
Tatizo tumezoe a UNAFIKI na kupeana sifa za uongo mtu anapokufa. Ila hakuna aliposema kafurahia kifo cha Kanumba acha urongo na wewe.
Soma tena...

Shirikisha akili yako..usikurupuke.
 
Inahitaji uwe na Hekina kuyaelewa maneno hayo.......Yote haya Lulu yanamkuta kwa sababu ya Marehemu Kanumba Kumtaka Unyumba Mtoto............Angekuwa Mwanao halafu ukasikia ameingiliwa na Libaba Lizima ungekuwa katika hali ipi.......??? Hiki ndicho Afande Sele anakikumbuka hadi leo..................!!!!! Lulu anahitaji kusaidiwa kwa vyovyote vile.........!! Mahakama ilipaswa kuangalia hili........!!!!
 
Usiku huo club Lulu alikuwa na nani!!??

Nani alimruhusu awe maeneo hayo usiku huo!??

Alimgusa Afande bega kwa nia gani!?

... Afande haoni kama huyu Lulu wazazi wake walishampindisha kimaadili hata kabla ya kukutana na Kanumba!?

Kwanini ajiweke upofu na Zigo lote kumtupia Marehemu..!?

Afande anasema anamchukia marehemu mpaka sasa..!? Wewe kama nani!? Wewe Mungu!?

Mungu anasamehe... Wewe Afande ni nani!!????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…