Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

Siku si nyingi Afande ataitwa kituo cha kati kutoa maelezo [HASHTAG]#NchiYaMatamko[/HASHTAG]
 
Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
Watu kama wewe hata kwetu wapo....
 
Haha sasa mkuu hata ingekuwa ni wewe utakubali demu wako achukuliwe kiboya?
Hahaha, yule manzi alianza mwenyewe. Halafu mimi nilikuwa sina hata mpango naye. Jamaa na wapambe wake wakataka kunivaa kisa wao wenyeji pale.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
Kwenye ule ukumbi alipovua boxer watoto wadogo hawaruhusiwi kuingia mkuu pia ukweli wa maneno yake isiwe sababu ya kumshambulia yeye binafsi cha muhimu ni kuangalia kama ujumbe wake una maana/mafunzo yoyote kwa jamii
 
Mpumbavu kwelikweli...

Sidhani kama alikuwa salama akipost hii...

Bangi tupu.

Huwezi kumlaani marehemu namna hii.. Haiwezekani.
Bangi jamani bangi ulikosea nini wanaadam maana kila baya unapewa wewe
 
Afande Hajahukumu kuwa mwerevu..
 
Afande sele ni mnafiki sana tena ni miongoni mwa wasanii waliokuwa na roho mbaya enzi za uhai Wa sanaa yake
 
Kwa umri aliokua nao lulu kipindi kanumba anakufa huwezi jua alinyanyasikaje kufanyishwa ngono na libaba jitu zima na hakua na maamuzi juu ya mwili wake, ukiwa na watoto wa kike utaelewa hakuna kipindi cha frustration kama mzazi kama binti akifika umri aliokua nao lulu kipindi kanumba anakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…