Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Sele mseng......n.&ya....ji tu koro aliyepoteza uelekeo.Anamtusi sugu ambaye ni babaake wa kitaa.Bangi+laana ya sugu+laana ya mama tunda+usela mavi ndio vinazidi kummaliza.Mwanamme shababi huwezi kumuita mwanaume mwenzako mbaya.Halafu yeye aliyewahi kuzaa na aliyechelewa nani ana maisha mazuri kibongobongo?Mngese na kocho tu na vyeo atavisikia kwa wenzake tu.
 
Afande sele ni looser maisha yamempiga alikua anaishi nyumba ya ukweni tokea mama tunda afariki kapoteza uelekeo kaishia kuwa king'asti, alimsaliti 20% aliyekua akimlisha yeye na familia yake
Hizi nliziskia Morogoro
 
Labda ameifuta, naitafuta katika pg yake siioni hii post!
 
Mama tunda alifanyake tena
 
Kweli anawaharibia wavuta bangi ila bangi yake ndo inamtia mchizi mbona wengine wastaarabu tu na bangi zao
Selle anafanya wavutaji tuonekane hatuna maana wakati humu maofisini serikali imetupa dhamana
 
Ndomana alichapiwaga mke wake yule (rip)na dj mmoja wa samaki moro....jamaa nlimkuta anatoka makamasi +kuliaa.....jing@ tu

Ova
Alichapiwa mkewe (rip mama tunda) na DJ mdogo wa DJ John Dilinga Maclaw, wa pale Samaki, Kihonda
 
"Niko mikononi mwa Police!
Maisha yangu bado ni mikosi!
Afande!"
 
Enzi hizo Morogoro town, Sugu akija kuperform secondary za town km KIGURUNYEMBE, FOREST, MOROSEC, Afande alikuwa anatangulizwa kama underground! Anaimba bure.
 
Sura nzuri kwa mwanaume inasaidia nini?huyu labda ataishia kuwa wale marioo.nadhani hana jipya hakuna sababu ya kubishana na mtu kama huyu.asubiri akifa achomwe moto tu kama alivyotaka.naona watu wengine wamekuwa wapumbavu wakidhani kashfa ndio njia ya kupata uongozi.uongozi na karba sio kila mtu anayo.
 
Nyumba anayoishi Afande Sele Hata mlinzi wa geti la Sugu Hawezi kaa niliona nikalinganisha hadhi yake nilicheka sana Huu Utakuwa Wivu Tu!
 
Mbona kweli ni mweusi, Kweli kaachwa, Kweli kapata mtoto uzeeni, kweli ni mfupi. Kipimo cha ubaya ndo sijajua amepima na nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…