Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Kwa hiyo wewe unasemaje? Kwa mtazamo wako Sugu ni mbaya au mzuri? Mwenzako ameanza kutafuta wanaume wazuri naona na wewe unataka kumuiga...lakini amesema ukweli au uongo? kipi cha uongo hapo?