Hahaha.....huyo faiza ni hatari zaidi coz kuna siku alivaa pampers. Sasa kwa hali hiyo sio mchezoOoooh ok
Sasa hapo ufanano wa faiza na sugu moto chin uko wapi? Sema faiza na sele akili yao moja tena walitakiwa wawe mume na mke coz wote wana mipasho!
Sele anasubiri kwa faiza coz huyu mwananke nadhani anavuta bangi ya daraja LA kwanzaOoooh ok
Sasa hapo ufanano wa faiza na sugu moto chin uko wapi? Sema faiza na sele akili yao moja tena walitakiwa wawe mume na mke coz wote wana mipasho!
Kweli kabisa nkuu, unajua cc wengine wa ntwara tunanshangaa huyu jamaaMwanaume aliekamilika hawezi kumwambia mwanaume mwenzie ana sura mbaya anataka awe na sura nzuri ili iweje
Huyu jamaa si ndio alimuua mama tunda kwa ku-m-f-i-r-a
Sawa ila jamaa anavyosema ana sura mbaya alitaka jamaa amwoe? Na ndio sababu ukisoma comments za wabobezi wanasema sele ana mambo ya kifeleWacha kijiko kiitwe kijiko,kwani sugu ni mrefu
Wacha kijiko kiitwe kijiko sasa ulitaka aseme Mr Sugu ni mrefu au ni handsome?wengine hawasemagi uongo bana,kama wewe ni short basi unabaki hivyo hivyo mimi sioni kosa la Afande.
Mkuu umenichekesha sana, ana kichwa kilichobeba nywele, ulimi na ubongo. Hatare sanaAti afande sasa yeye anamwona mwenzake ni short and ugly yeye tall and pretty what next? Maana yeye saa hivi ni inzi wanamfuata kwa kunuka maana hata hajui lini mara ya mwisho kuoga................. yeye amebeba kichwa chenye nywele na ulimi basi ubongo hakuna. Manaa angekuwa nao angeongea ya maana na sio huo mtindio wa akili
Kuvua sarawale na kubaki na boxer jukwaaniDah! Afande Sele ni moja ya wasanii wanaotoa nyimbo zenye maadili ndani yake ; lakini sijui nini kinamchanganya!
Huyu sele kama hajapelekwa mirembe hadi sasa inabidi hatua za maksudi zichukuliwe
Mkuu wewe unapiga ya wapi?dah jamaa latudhalilisha sana wavuta bangi. Tumeonekana watu wa ovyo kabisa
Hahahaha.....hapana " amesikia kwamba ili upate teuzi Lazima uwe kichaa " so ndio anajichetua ili ateuliwe
Hahahaha.....ndio hivyo sasa, keshakuwa wa mrengo huoMtu ambaye anaweza kutenga muda wake kujaridi kimo cha mtu mwingine, si tu anakuwa hana busara bali ni mpumbavu wa kiwango cha lami. Afande sele amekuwa na tabia za kike sana inashangaza alivyoweza kuibadirika ndani ya muda mfupi na kuwa katika kundi moja na akina Gigi money. Sikuwahi kufikiria kuwa itafikia siku afande yule wa mkuki moyoni, darubini kali, heshima, mtazamo anaweza siku moja kuwa katika kundi la akina ambalulu....
So huyu ni nani?Huyu siyo rasta! marasta hatupo hivyo! rastafarai tuna kanuni yetu ya I and I....!!
C unaona sasa, mambo gani hayoSawa afande
Hivi kuwa na watoto nayo ni mafanikioSugu kamzidi Afande sele asilimia 90% na zaidi ya mafanikio labda Afande Sele alichomzidi Sugu in kuwa na watoto wakubwa na wengi kama mwanae Tunda, Sele hayuko sawa anatamani atoke kama hawa wakuu wa wly wanaojiita me mkuu wa mkoa ila sasa Sele shule hamna ndio tabu inaanzia hapo.
Kuna mtu alijiumba? Nafikiri tusiikosoe kazi ya muumba mfupi, mrefu good looking wote ni waja wa Mungu tukosoe matendo yao.Ila ni kweli sugu ni mfupi
Hayo mengine sio maneno mazuri afande sele aache utoto