Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Ooooh ok
Sasa hapo ufanano wa faiza na sugu moto chin uko wapi? Sema faiza na sele akili yao moja tena walitakiwa wawe mume na mke coz wote wana mipasho!
Hahaha.....huyo faiza ni hatari zaidi coz kuna siku alivaa pampers. Sasa kwa hali hiyo sio mchezo
 
Ooooh ok
Sasa hapo ufanano wa faiza na sugu moto chin uko wapi? Sema faiza na sele akili yao moja tena walitakiwa wawe mume na mke coz wote wana mipasho!
Sele anasubiri kwa faiza coz huyu mwananke nadhani anavuta bangi ya daraja LA kwanza
 
Mtu yeyote anaye pinga uumbaji wa Mungu anamatatizo ya akili na hajitambui kwanini yeye yupo hivyo na wengine wapo vile
 
Mwanaume aliekamilika hawezi kumwambia mwanaume mwenzie ana sura mbaya anataka awe na sura nzuri ili iweje
Kweli kabisa nkuu, unajua cc wengine wa ntwara tunanshangaa huyu jamaa
 
Wacha kijiko kiitwe kijiko,kwani sugu ni mrefu

Wacha kijiko kiitwe kijiko sasa ulitaka aseme Mr Sugu ni mrefu au ni handsome?wengine hawasemagi uongo bana,kama wewe ni short basi unabaki hivyo hivyo mimi sioni kosa la Afande.
Sawa ila jamaa anavyosema ana sura mbaya alitaka jamaa amwoe? Na ndio sababu ukisoma comments za wabobezi wanasema sele ana mambo ya kifele
 
Ati afande sasa yeye anamwona mwenzake ni short and ugly yeye tall and pretty what next? Maana yeye saa hivi ni inzi wanamfuata kwa kunuka maana hata hajui lini mara ya mwisho kuoga................. yeye amebeba kichwa chenye nywele na ulimi basi ubongo hakuna. Manaa angekuwa nao angeongea ya maana na sio huo mtindio wa akili
Mkuu umenichekesha sana, ana kichwa kilichobeba nywele, ulimi na ubongo. Hatare sana
 
Mtu ambaye anaweza kutenga muda wake kujaridi kimo cha mtu mwingine, si tu anakuwa hana busara bali ni mpumbavu wa kiwango cha lami. Afande sele amekuwa na tabia za kike sana inashangaza alivyoweza kuibadirika ndani ya muda mfupi na kuwa katika kundi moja na akina Gigi money. Sikuwahi kufikiria kuwa itafikia siku afande yule wa mkuki moyoni, darubini kali, heshima, mtazamo anaweza siku moja kuwa katika kundi la akina ambalulu....
Hahahaha.....ndio hivyo sasa, keshakuwa wa mrengo huo
 
Sugu kamzidi Afande sele asilimia 90% na zaidi ya mafanikio labda Afande Sele alichomzidi Sugu in kuwa na watoto wakubwa na wengi kama mwanae Tunda, Sele hayuko sawa anatamani atoke kama hawa wakuu wa wly wanaojiita me mkuu wa mkoa ila sasa Sele shule hamna ndio tabu inaanzia hapo.
Hivi kuwa na watoto nayo ni mafanikio
 
Ila ni kweli sugu ni mfupi
Hayo mengine sio maneno mazuri afande sele aache utoto
Kuna mtu alijiumba? Nafikiri tusiikosoe kazi ya muumba mfupi, mrefu good looking wote ni waja wa Mungu tukosoe matendo yao.
Watoto ni zawadi Mungu anatupa kwa wakati anaotaka yeye na akiamua hakupi yote ni kumshukuru Mungu. Uwe umepata mtoto ukiwa kijana au uzeeni shukurani aende kwa Mungu
 
Ni mfupi lakini mwenzake ana hela. Yeye mrefu lakini kazi kuvua chupi jukwaani mbele ya wanaume
 
Back
Top Bottom