Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Mbona kweli ni mweusi, Kweli kaachwa, Kweli kapata mtoto uzeeni, kweli ni mfupi. Kipimo cha ubaya ndo sijajua amepima na nini.
Kaachwa una uhakika? Mapenzi yake na faidha wewe ulikuwepo?
 
Mbona kweli ni mweusi, Kweli kaachwa, Kweli kapata mtoto uzeeni, kweli ni mfupi. Kipimo cha ubaya ndo sijajua amepima na nini.
Mwanaume unamtolea kashfa za kike mwanaume meenzako,si ushoga huo
 
Back
Top Bottom