Afande Sele atoa ya moyoni kuhusu 'Seduce me' na 'Zilipendwa'

Mashabiki wa arsenal msijifanye mko bize kushindanisha "seduce me" na "zilipendwa" tunawakumbusha mechi iliyopita mlifungwa 4-0 na wafungaji ni mane, salah, firminho na sturridge

ushauri wa bure
 
kwa iyo mkuu cku hizi nawe waitwa KIPUSA?eti mkaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi Kati Nilipokua Kiteto Ndipo Nikasikia Habari Ya Kwamba Kiba Na Chibu Wote Wametoa Ngoma Mpya...Lkn Baada Ya Hapo Kuanzia Pale Kiteto Na Maeneo Yote Ya Vijiji Na Miji Niliyokua Napita Wkt Wa Kurudi Moro Nikawa Nausikia Wimbo Wa Chibu Tu Aliowashirikisha Wadogo Zake Ingawa Mimi Kama Mdau Wa Mziki Nilikua Ninashauku Ya Kuusikia Wimbo Wa Kiba Pia....Nilishindwa Kuingia Mitandaoni Kuutafuta Kwakua Nilikua Naendesha Gari Muda Wote Wa Safari Hivyo Nilivumilia Hadi Nilipofika Nyumbani Ndipo Nikazama Mitandaoni Ambapo Huko Nilishangaa Kukuta Hali Ni Tofauti Kabisa Na Ilivyo Mitaani Hasa Kule Vijijini....Wkt Huko Mitaani Habari Kuu Ni Wimbo Wa Chibu...Huku Mitandaoni Habari Kuu Ni Wimbo Wa Kiba....Hapo Nikajifunza Kitu Kwamba Inawezekana Kuwa Kiba Anakubalika Zaidi Na Watu'fulani'Wa Mjini Halafu Chibu Anakubalika Sana Na Watu Wa'kawaida'Ktk Maeneo Yote Hasa Vijijini....Kwa Kuzingatia Hilo Nikagundua Kuwa Kibiashara Na Kick Za Kijamii Chibu Yupo Vizuri Zaidi Tofaut Na Kiba Ambae Kiheshima Na Utanashati Yupo Juu Wkt Wote....Jambo Muhimu Nililoliona Kwa Wote Ni Kwamba Kila Mmoja Anakitu Cha Kujifunza Kwa Mwenzake....Chibu Anaweza Kujifunza Utulivu...Usikivu Na Umakini Wa Hali Ya Juu Alionao Kiba Ktk Kupangilia Kazi Zake Kutoka Hatua Za Awali Mpaka Anapozitoa Hewani...Yeye Kiba Anayo Nafasi Ya Kujifunza Kuwa Timu Nzuri Ni Ile Inayofanya Usajili Mzuri Na Yenye Kufanya Mikakati Ya Ushindi...Nje Ya Mziki Ally Kiba Ni Mwanasoka Bila Shaka Anafahamu Falsafa Ya Mpira Pasi Mziki Pia Upo Hivyo...Zaidi Ya Vyote Nawapongeza Wote Kama Wadogo Zangu Na Wasanii Hodari Wa Nyakati Hizi Ingawa Nawapa Angalizo Kuwa Waendelee Kukomaa Kwani Wao Sio Wasanii Wazuri Kuliko Wote Ingawa Wanapewa Nafasi Kuliko Wote...Huo Ni Mtazamo Wangu Mimi Tu Wala Sio Sheria...Zaid Ya Hapo"Wacha Nilewe...Nilewe Tuu"....
Source fb page ya afande sele the king

Bless I
 
Unauhakika hiyo page Ni ya Afande sele!?nakumbuka juzi kipindi nyimbo ya mondi inatoka Afande sele alicomment kuhusu mstari kwenye nyimbo ya domo unaosema sijui simba Wa Moro Ni zilipendwa(nyimbo sijabahatika kuisikiliza)alisema kuwa anafurahia utani..caption hiyo iliambatana na picha ya Afande sele akiwa kavaa marapa machaafu glass ya via ikiwa juu ya tairi na gari na kusema yupo camp gani sijui uko Moro,sasa wewe Leo unatuletea hadithi za kiteto..!!kiba kawanyoosha ***** zenu!!
 
Yeye Kiba Anayo Nafasi Ya Kujifunza Kuwa Timu Nzuri Ni Ile Inayofanya Usajili Mzuri Na Yenye Kufanya Mikakati Ya Ushindi
bila shaka kibakuli atachukua hii point, ila sele atakuwa ameoga matusi huko alikoweka hii message vibaya mno maana team kibakuli akili zao ni kama manyumbu tuu.
 
Kuna nyimbo zengine tunazisikiliza kwa sababu tu zimeimbwa na wasanii wakubwa ila kiukweli hawa wasanii wakubwa muda mwengine hutoa nyimbo za chini ya kiwango, hivi"zilipendwa" ingekuwa imeimbwa na msanii wa kawaida kweli ingeweza kupambanishwa na"seduce me"?

Kuna sehemu unakuta watu wanasikiliza nyimbo za Bambo au BestNaso, hivyo si ajabu kukuta wanasikiliza zilipendwa tena ni ya Diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…