Afande Sele atoa ya moyoni kuhusu 'Seduce me' na 'Zilipendwa'

Afande Sele atoa ya moyoni kuhusu 'Seduce me' na 'Zilipendwa'

Kiukweli umesema nami nimeufuatilia sana kiba anapewa sana promo na media lkn kikazi mond yuko vzr,na ndio maana kiba anavuma Tz lkn kimataifa havumi hongera mond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kiteto wanajua nn zaidi ya pembejeo
 
Thumb up King Selemani.
Huo ndio ukweli kitaa kuanzia waingiza nyimbo, wauza cd ni mwendo wa zilipendwa tu.
Alaf colus ya kiingereza sio ndo wimbo wa kimataifa kama hivyo wangeanza kutoboa navy kenzo
 
Najaribu kuwaza na kuwazua nn "content" ya seduce me,siipati...naona biti ikiubeba wimbo...ila sio issue tunacheza minyimbo ya kizungu na hutuelewi maana yake sembuse ya mswahili mwenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba wa Moro azungumzia nyimbo tajwa mbili na kuzikubali zote. Pia Sele amesema kuwa Zilipendwa ni nyimbo kipenzi mtaani na vijijini kwa watu ambao labda uwezo wa wao ni mdogo kuitazama Youtube zaidi ya mara 200.

Kuhusu Seduce Me, afande ameona ni wimbo uliopewa promo sana kwenye mitandao ya kijamii na kuishia huko huko lakini kitaa hauna kiki.

---------------
MSOME MWENYEWE

“Juzi Kati Nilipokua Kiteto Ndipo Nikasikia Habari Ya Kwamba Kiba Na Chibu Wote Wametoa Ngoma Mpya…Lkn Baada Ya Hapo Kuanzia Pale Kiteto Na Maeneo Yote Ya Vijiji Na Miji Niliyokua Napita Wkt Wa Kurudi Moro Nikawa Nausikia Wimbo Wa Chibu Tu Aliowashirikisha Wadogo Zake Ingawa Mimi Kama Mdau Wa Mziki Nilikua Ninashauku Ya Kuusikia Wimbo Wa Kiba Pia.

Nilishindwa Kuingia Mitandaoni Kuutafuta Kwakua Nilikua Naendesha Gari Muda Wote Wa Safari Hivyo Nilivumilia Hadi Nilipofika Nyumbani Ndipo Nikazama Mitandaoni Ambapo Huko Nilishangaa Kukuta Hali Ni Tofauti Kabisa Na Ilivyo Mitaani Hasa Kule Vijijini, Wkt Huko Mitaani Habari Kuu Ni Wimbo Wa Chibu huku Mitandaoni Habari Kuu Ni Wimbo Wa Kiba.

Hapo Nikajifunza Kitu Kwamba Inawezekana Kuwa Kiba Anakubalika Zaidi Na Watu’fulani’Wa Mjini Halafu Chibu Anakubalika Sana Na Watu Wa’kawaida’Ktk Maeneo Yote Hasa Vijijini. Kwa Kuzingatia Hilo Nikagundua Kuwa Kibiashara Na Kick Za Kijamii Chibu Yupo Vizuri Zaidi Tofaut Na Kiba Ambae Kiheshima Na Utanashati Yupo Juu Wkt Wote.

Jambo Muhimu Nililoliona Kwa Wote Ni Kwamba Kila Mmoja Ana kitu cha Kujifunza kwa Mwenzake….Chibu Anaweza Kujifunza Utulivu…Usikivu Na Umakini Wa Hali Ya Juu Alionao Kiba Ktk Kupangilia Kazi Zake Kutoka Hatua Za Awali Mpaka Anapozitoa Hewani.

Yeye Kiba Anayo Nafasi Ya Kujifunza Kuwa Timu Nzuri Ni Ile Inayofanya Usajili Mzuri Na Yenye Kufanya Mikakati Ya Ushindi.

Nje Ya Mziki Ally Kiba Ni Mwanasoka Bila Shaka Anafahamu Falsafa Ya Mpira Pasi Mziki Pia Upo Hivyo.

Zaidi Ya Vyote Nawapongeza Wote Kama Wadogo Zangu Na Wasanii Hodari Wa Nyakati Hizi Ingawa Nawapa Angalizo Kuwa Waendelee Kukomaa Kwani Wao Sio Wasanii Wazuri Kuliko Wote Ingawa Wanapewa Nafasi Kuliko Wote…Huo Ni Mtazamo Wangu Mimi Tu Wala Sio Sheria.

Zaidi Ya Hapo”Wacha Nilewe…Nilewe Tuu”….
Kumbe alikuwa anakunywa sina cha kuongeza


Iliishia wapi ile imani yake kuhusu mungu jua na mungu mvua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zilipendwa nikajua ni Nyimbo za kina King Kik kumbe Diamond ana wimbo unaitwa zilipendwa
 
Zilipendwa umekaa kiuchokochoko yani wimbo wa vijembe vijembe ndiomana uswahilini unakiki maana Sikh hzi watu wanapenda kupeana majibu ya makavu so zilipendwa unaendana na hali ya maisha ila seduce me limekaa kimbelembele sana hasa wakaka ndio tumeshapata jina jipya sasa Mara kipusa Mara pasua kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume gani unajiita "MKAKA" halafu unajiona sio 'CHOKO'???
unajitambua sexuality yako kweli wewe..?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afande Sele anautani na Mange Kimambi
 
kifupi washamba wanampenda domo

wajanja,wanaojielewa, wanao elewa kuperuzi, watulivu, watu smati wanampenda kiba.

domo ana mengi ya kujifunza kwa kiba, kuliko kiba kujifunza kwa domo
Ushamb huo vip tena mkuu usitulazimishe tumpende kiba kinguvu bhna kila.mtu na chaguo lake ila kiukwel huu wimbo wa seduce me nimeuelewa kimtindo ila kauli zako mkuu acha
 
Back
Top Bottom