Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Haya afande tumeshajua upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe alikuwa anakunywa sina cha kuongezaSimba wa Moro azungumzia nyimbo tajwa mbili na kuzikubali zote. Pia Sele amesema kuwa Zilipendwa ni nyimbo kipenzi mtaani na vijijini kwa watu ambao labda uwezo wa wao ni mdogo kuitazama Youtube zaidi ya mara 200.
Kuhusu Seduce Me, afande ameona ni wimbo uliopewa promo sana kwenye mitandao ya kijamii na kuishia huko huko lakini kitaa hauna kiki.
---------------
MSOME MWENYEWE
“Juzi Kati Nilipokua Kiteto Ndipo Nikasikia Habari Ya Kwamba Kiba Na Chibu Wote Wametoa Ngoma Mpya…Lkn Baada Ya Hapo Kuanzia Pale Kiteto Na Maeneo Yote Ya Vijiji Na Miji Niliyokua Napita Wkt Wa Kurudi Moro Nikawa Nausikia Wimbo Wa Chibu Tu Aliowashirikisha Wadogo Zake Ingawa Mimi Kama Mdau Wa Mziki Nilikua Ninashauku Ya Kuusikia Wimbo Wa Kiba Pia.
Nilishindwa Kuingia Mitandaoni Kuutafuta Kwakua Nilikua Naendesha Gari Muda Wote Wa Safari Hivyo Nilivumilia Hadi Nilipofika Nyumbani Ndipo Nikazama Mitandaoni Ambapo Huko Nilishangaa Kukuta Hali Ni Tofauti Kabisa Na Ilivyo Mitaani Hasa Kule Vijijini, Wkt Huko Mitaani Habari Kuu Ni Wimbo Wa Chibu huku Mitandaoni Habari Kuu Ni Wimbo Wa Kiba.
Hapo Nikajifunza Kitu Kwamba Inawezekana Kuwa Kiba Anakubalika Zaidi Na Watu’fulani’Wa Mjini Halafu Chibu Anakubalika Sana Na Watu Wa’kawaida’Ktk Maeneo Yote Hasa Vijijini. Kwa Kuzingatia Hilo Nikagundua Kuwa Kibiashara Na Kick Za Kijamii Chibu Yupo Vizuri Zaidi Tofaut Na Kiba Ambae Kiheshima Na Utanashati Yupo Juu Wkt Wote.
Jambo Muhimu Nililoliona Kwa Wote Ni Kwamba Kila Mmoja Ana kitu cha Kujifunza kwa Mwenzake….Chibu Anaweza Kujifunza Utulivu…Usikivu Na Umakini Wa Hali Ya Juu Alionao Kiba Ktk Kupangilia Kazi Zake Kutoka Hatua Za Awali Mpaka Anapozitoa Hewani.
Yeye Kiba Anayo Nafasi Ya Kujifunza Kuwa Timu Nzuri Ni Ile Inayofanya Usajili Mzuri Na Yenye Kufanya Mikakati Ya Ushindi.
Nje Ya Mziki Ally Kiba Ni Mwanasoka Bila Shaka Anafahamu Falsafa Ya Mpira Pasi Mziki Pia Upo Hivyo.
Zaidi Ya Vyote Nawapongeza Wote Kama Wadogo Zangu Na Wasanii Hodari Wa Nyakati Hizi Ingawa Nawapa Angalizo Kuwa Waendelee Kukomaa Kwani Wao Sio Wasanii Wazuri Kuliko Wote Ingawa Wanapewa Nafasi Kuliko Wote…Huo Ni Mtazamo Wangu Mimi Tu Wala Sio Sheria.
Zaidi Ya Hapo”Wacha Nilewe…Nilewe Tuu”….
hajaandika pumba....kaandika ujinga mtupu!!!Alikuwa anaendesha gari!!!.. Alikodi
Mwanaume gani unajiita "MKAKA" halafu unajiona sio 'CHOKO'???Zilipendwa umekaa kiuchokochoko yani wimbo wa vijembe vijembe ndiomana uswahilini unakiki maana Sikh hzi watu wanapenda kupeana majibu ya makavu so zilipendwa unaendana na hali ya maisha ila seduce me limekaa kimbelembele sana hasa wakaka ndio tumeshapata jina jipya sasa Mara kipusa Mara pasua kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga wengi wapo mitandaoni kama hujui sasa.kifupi washamba wanampenda domo
wajanja,wanaojielewa, wanao elewa kuperuzi, watulivu, watu smati wanampenda kiba.
domo ana mengi ya kujifunza kwa kiba, kuliko kiba kujifunza kwa domo
Kawa Nabii cku iz?
Ushamb huo vip tena mkuu usitulazimishe tumpende kiba kinguvu bhna kila.mtu na chaguo lake ila kiukwel huu wimbo wa seduce me nimeuelewa kimtindo ila kauli zako mkuu achakifupi washamba wanampenda domo
wajanja,wanaojielewa, wanao elewa kuperuzi, watulivu, watu smati wanampenda kiba.
domo ana mengi ya kujifunza kwa kiba, kuliko kiba kujifunza kwa domo