Pre GE2025 Afande Sele awachana CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jinga hili kama majinga mengine ambayo uchawa umeyapofuswa,akosoe ccm kama kweli mkweli.
 
Ana hoja nzito sana
Sana .... Ila tunakwepa kupitia mrango wa bange
 
Kutukana na kuongea matusi maana yake Una uwezo mdogo wa kuwasilisha hoja.
 
Ana hoja ambazo zinahitaji majibu…CCM ni chama cha mapanduzi ,chenye misingi ya kijamaa kukaa madarakani miongo hata mitatu kijamaa hakuna shida , tatizo CHADEMA kinajinasibu Demokrasia ambayo hawawezi kuishi.
 
Afande sele ni mhuni mvuta bangi ziko wapi zile picha zake akiwa jukwaani amevua nguo ameshika map*mb* ?
Asidhani tumesahau
 
Afande sele alishaliwa 0713 yake maeneo ya mafiga 1998 kwa sababu za ulevi hajapona depression
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…