Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kutumia lugha Kali lakini chukueni mazuri yake kwenye huu ujumbe .Mimi pia napenda upinzani ushinde 2025 lakini sioni upinzani smart kichwani. Guys if you get a mic on mouth get to say what makes people have a feel on you.
Bange bange bange msubaElimu ndogo akili mbovu
Mwambieni apunguze mjani
Hana impact yoyote kwa jamii
Kuna video ilisambaa akimtukana Mungu ni mtaji wa CCM huosasa huyu ni mtu?
Imasikitisha kwa kweli.1990 - CCM inatetewa na Horace Kolimba, Moses Nnauye, John Chiligati, Masatu Wasira.
2024- CCM inatetewa na Mwijaku, Stive Nyerere, Afande Sele, Masanja Mkandamizaji.
Vitoto vya juzi hamuwezi kumjuahuyu jamaa ni Afande wa wapi na nasikia alikua msanii anawimbo gani unao trend sasa ?
Kwani ungeandika “CHADEMA wachanwa na muathirika wa bangi” ungepungukiwa nini?
Huyu sio saizi ya chadema na watatz wanaoangalia hatima ya vizazi vyao vijavyo , mziki wenyewe umemshinda ,sasa mambo ya nchi ambayo hayawezi ataeleza nini
Wadudu 😂
Umeandika nini sijui nielewesheKiufupi hamna uwezo CCM watu wa pwani kibao ndio maana wana nguvu.
Masikini ndo silaha ya mwishomwisho ya ccm,ona sasa madhara ya kutumia bangi
Wapo machawa wa ccmHivi bado kuna watu wanaomsikiliza Afande Sele?
ana hajaIla ana hoja.