Afande Sele: Baadhi ya vingozi, matendo na kauli zao zinapelekea Wananchi kuona lazima tupate katiba mpya

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Wengi wetu, wazazi wetu walishatangulia mbele za haki. Kwa hiyo tunabaki tunayaishi yale mafundisho mazuri waliotuelekeza na kama kuna ambao hawakutuelekeza, basi tunafundishwa na dunia. Lakini ni siku nzuri kujadili masuala ambayo pengine ni ya msingi sana mustakabali wa taifa, jamii, familia za yetu. Na wakati huu tunaona ajenda kubwa kabisa ambayo inazungumzwa midomoni mwa kila mtu ni issue nzime ya kupatikana kwa katiba mpya.

Imekuwa ndio gumzo la kila mmoja wetu. Of course unajua pia sababu kubwa najua ni kwa sababu pia kwenye Chama Tawala CCM kwenye ilani yao swala la katiba mpya limo na ndio maana mara nyingi viongozi wa chama wanasema kwamba hili jambo ni la kwao.

Na kama haitoshi mwenyekiti wa Chama Tawala kwa maana ya Mheshimiwa Rais mwenyewe kwa utashi wake ambao anao na kwa sababu anajua umuhimu wa katiba mpya ameshawahi kuzungumza kwamba kama mambo yatakaa vizuri aliahidi kwamba ndani ya siku 100 katiba mpya ingepatikana. Najua huo ni utashi binafsi wa Mheshimiwa Rais na naamini hivyo.

Kwa hiyo na sisi pia tunasema kama jamii tunajadili kuhusu swala zima la katiba mpya ingawa kuna kitu ambacho isipokuwa bahati wakati huu kuna watu wengi sana wanaamini pengine au wanaona labda ni swala la katiba mpya wanaoshadadia na kushinikiza labda ni wapinzani na wanaharakati. Na wakati sio kweli kwa sababu ukienda ndani kabisa wakati huu kuna kundi ambalo linasababisha sana watu waone kama katiba mpya ni muhimu bwana hapa lazima ipatikane.

Kuna kundi ambalo linasababisha hali kwa kipindi hiki ni kundi la baadhi ya viongozi kwa maana ya watawala. Matendo na kauli zao ndio zinapelekea sana watu kuona katiba mpya ni muhimu bwana. Na ni kwa sababu matendo na kauli zao zinapelekea wananchi kuona ah hii imekuwaje sasa huyu mpaka anaongea hivi mpaka anatenda hivi bwana hapana hapa tupate katiba mpya. Kwa hiyo hao ndio wanasababisha sana kuona katiba mpya kuzidi kwenda mbele yaani matendo na kauli za baadhi ya viongozi zinapelekea sana hivyo.

Of course ni jambo nzuri na wanaweza wakawa wanasaidia sana jamii ingawa labda pengine dhamira yao inakuwaga sio hivyo lakini kwa matendo na kauli zao ndio inapelekea sana kusema bwana katiba mpya sasa lazima ipatikane. Unaona bwana na hii ni kwa sababu kunakuwa na shida moja ambayo pengine hata Mheshimiwa Rais juzi aliongea wakati anateua wakuu wa mikoa akasemwa msiende kuwa wafalme. Yaani kunakuwa na hiyo issue kwamba baadhi ya viongozi wakishapewa nafasi tu wanaona sasa pale yuko juu ya kila kitu na kila mtu pengine. Hata wale ambao wanamzidi umri anaanza kuwaona kama ni wadogo kwake.

Wale ambao pengine wanamzidi elimu anaanza kuona ah ni wajinga kwake. Yaani ni kwa sababu tu kapata nafasi au hata wale ambao pengine wanamzidi akili anaanza kuona ah hawana chochote mbele yake kwamba eh kwa sababu kateuliwa basi yuko juu ya kila kitu.

Na ndio hapo wanapotoa manenona matendo wanayoyafanya yanapelekea kuona sasa katiba mpya ni muhimu ipatikane. Hilo ni moja lakini of course ni jambo jema lakini pia kuna kitu ambacho watu wanasahau.
 
Huyu si ndiye aliwahi kusema mungu amwombe msamaa Jiwe
 
Bangi tu hizo
Bangi inayotema madini ya aina hii hata mimi nitashawishika kuipanda shambani kwangu.
 
ok.🐒
 
Back
Top Bottom