Afande Sele: Daz Baba hatumii Madawa ya Kulevya, anakunywa pombe kupita kiasi

Afande Sele: Daz Baba hatumii Madawa ya Kulevya, anakunywa pombe kupita kiasi

Huyo mtoa ushauri mwenyewe amebakiza siku chache kufikia hali ya Daz Baba lakini hana hata dalili ya kuacha na ndio kwanza anamtetea havuti inga
Kama hamtaki kuacha unga na mnateteana hivi kwa vitu vipo wazi nani atawaamini kuwasaidia

Dunia hii tunalazimika tu kukuzika maana unakua umekufa vinginevyo msitake kuvisha na kubebesha watu mizigo isiyo wahusu Afande

Acha mihadarati be safe.....period
 
Asisingie pombe hapa kwani nani haijui?pombe gani inayombadilisha mbongo kuwa msomali?
 
Back
Top Bottom