Huyo mtoa ushauri mwenyewe amebakiza siku chache kufikia hali ya Daz Baba lakini hana hata dalili ya kuacha na ndio kwanza anamtetea havuti inga
Kama hamtaki kuacha unga na mnateteana hivi kwa vitu vipo wazi nani atawaamini kuwasaidia
Dunia hii tunalazimika tu kukuzika maana unakua umekufa vinginevyo msitake kuvisha na kubebesha watu mizigo isiyo wahusu Afande
Acha mihadarati be safe.....period