ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
AFANDE SELE FT 20% MBELE YAKO NYUMA YANGU..
Intro.
Yah..hahahaha mj Record sio Afande sele, asilimia na Marco chali
Hahahaha
chorus.. 20% .
Mbele yako /
Mbele yako/
Nyuma yangu/
Nyuma yangu mie/
Usinichukie Weee..!!/
Ndugu yangu/ Uuuh..
Mbele yako /
Mbele yako/
Nyuma yangu/
Nyuma yangu mie/
Usinichukie /
Ndugu yangu/ Uuuh..
Verse..1 afande sele.
Mbele yako nyuma Yangu/
Twende kamanda Wangu/
Usiogope tupo na Mungu/
Pekee mwenye Ulimwengu/
yoyote aliyeko hai/
Si mu hofii/.....
Zaidi ya jah anae ni dai pumzi hii/
Nipo kama Zamani/
Nampiga shetani ,najiamini/
Najua nifanye nini, napokuwa majaribuni/...
Naomba Dua../
Nasali na kufunga/
Wachawi nawatambua, nawaumbua/
Kwa maombi nawatega, hata kabla hawaja ni uwa/..
Natimua nawapenda Ndugu zangu/
Wanao nipenda ,nawa penda/
Kama navyo mpenda Mungu/
Maana nampenda Mungu/
Kuliko mwanangu Tunda/
Kuliko mama Tunda/
Japo ni mwenzi wangu, Miaka rudi miaka nenda/
Si mtaji makusudi kwa vile anaweza kwenda/
Tena anaweza kwenda, wakati bado nampenda/
Akaniacha pekee yangu, ama inawezeka akaniacha mi na mwanangu/
Si unaelewa binadamu, ndo maana wenye ufahamu /
Walisema mapenzi sumu, japo yapo yenye utamu kama Ya Eva na Adamu/
Lakini matokeo yake , ndio hivyo yanatu hukumu wanadamu/..
Chorus...20%
Mbele yako /
Yeah...
Nyuma yangu/
Mbele yangu mie/
Usinichukie .!!/
Ndugu yangu/ Uuuh..
Ndugu yangu Eeeh/
Mbele yako/
Mbele yako/
Nyuma yangu/
Nyuma yangu mie eeeh/
Usinichukie ndugu yangu uuuh/
Verse. .2" 20%"
Eeeeh Mungu ...!!!!Mungu wangu...!!!/
Muone huyu ...,mbona ana chuki kwangu/..
Japo hakiwezi kuja kwangu./
"Never ,Ever" - afande sele
Mbele yako ,nyuma Yangu/
"Milele na milele " - afande sele.
Ukiangalia mbaya Yangu/
" machache sana"- afande sele
Kwa hiyo lazima utaona na Mazuri Yangu/Uuuh...
"Kibao kibao haya hisabiki"
Ila kuogea inakuwa ngumi/
"Hutaki kusema ukweli" - afande sele
Uuuh uuh Uuuuh
Sifa kwangu Uuh/
Sielewi kisa nini..?/
Unaleta chuki namimi/
Tukikutana njiani/
"Eti" - afande sele
kukunja kisalani/
Ulishazipanga ngumu/
"Barabarani"- afande sele
Kutaka pingana na mimi/
"Haiwezekani" - afande sele
Nikasema sipingani/
"Never ever" - afande sele
Usela wa kizamani/
"Tena sana" - afande sele
Uliza unichukie/
Waomba Mungu wako anifungie/
Ridhiki yangu isinifikie/
Au umeambiwa mwanga wako mie/
Ikivuma sana ngoma upa suka/
"uuuh" - afande sele
Subiri mwisho wangu utafika/
Chuki ,fitina uta sumbuka/
Yeah....
Chorus..20%
Mbele yako /
Mbele yako " afande sele"
Nyuma yangu/
Nyuma yangu mie/
Usinichukie /
Ndugu yangu/
Usinichukie....
Mbele yako /
Mbele yako/
Nyuma yangu/
Nyuma yangu mie/
Usinichukie /
Ndugu yangu/ Uuuh..
Verse...3 afande sele.
Aaah
Kama zamani twende na suleimani/
Wanaongea na kuongea, nasi bado tunaendelea/
Kujizolea Heshima, sifa kibao /
Ukipima mimi na wao/
Utanielewa ninachosema/
kwamba hata tembo akikonda hawezi kuwa kama ndama /Aaaah..
Na kazi ndio kwanza Inaanza/
Kutokemeza na Rap , nakukonyeza/
Wanatuongoza kila mkoa, na mademu/
Usiku mnene, pombe nyingi, vipi..? unakumbuka Kondomu/ooh
Ok! Kijana mdogo sisemi usiwe na Demu/
Lakini usi ipe kisogo sheria mama ya hili Game/
Kati ya ndumu na uweza wakuandika Ryhem/ kwenda gym Kimtindo kuonyesha Ugumu/bado una mambo mengi ya kujifunza kwenye Game/
Ili udumu..!! unahitaji kuwa nidhamu ya kudumu/
Sio ya kumuzuga Mwalimu /
Utaji hukumu /
Ni amini Babake Tunda anatenda wema anakwenda/
Si ngoji asante punda na ndio maana bado napanda /
Na sitaraji kustaafu kwani muziki sio kadanda/
Watu bado wanapenda , mchana & usiku wananiuliza kazi mpya lini kamanda/..
Chorus. . 20%
Mbele yako /
Ooooh...wa
Nyuma yangu/
Nyuma yangu mie/
Usinichukie /
Ndugu yangu/
Ndugu yangu
Mbele yako /
Oooooh...wa
Nyuma yangu/
Nyuma yangu mimi/
Usinichukie /
Ndugu yangu/
Outro. "Afande sele"
Mbele yako, nyuma Yangu,
Sio Au vipi..?,
Ishakuwa ya pili,
Toka kwa suelemani wa pili,
Alotunga Darubani kali ,
A.k.a simba zee kubwa na meno makali,
Mkali wa mashairi mwenye jina nalafanana na la mwana la yule mtunga zaburi,
Wa pili kwa akili japo Bodo sio tajiri ,
Muziki Bongo shubiri ,
Sio Asali kama wewe unavyofikiri,
Hata mkuu wa serikali analielewa jambo hili/
Na amesema tusijali ni lazima atatupa dili,
Ndio hivyo tunasubiri,
Au vipi..?
Mbele yako, nyuma yangu au sio
Sarut sanaa,
Pamoja sana,
Sambamba na king suleimani,
Yeah
Ooooi
Hahaha
Hahaha hahaha
Ilikuwa ni August mwaka 2014 ambapo suleimani msindi a.k.a afande sele alipofiwa na mke wake Asha mohamed " wengi hupenda kumuita Mama Tunda Mke wa mflame afande selle alifariki mkoani morogoro akiwa anapatiwa matibabu katika hospital ya rufaa mkoani Morogoro
Katika wimbo huu wa mbele yako ,nyuma yangu kuna ushairi uliyasema haya yaliokuja kutokea miaka kadhaa mbele baada ya wimbo huu kutoka kuhusu kufiwa msanii afande na mkewe ama mama tunda ,
Ujumbe huo unapatikana katika Verse no..1 katika wimbo huu .
"Maana nampenda Mungu/

Lakini matokeo yake , ndio hivyo yanatu hukumu wanadamu/.."
Lakini pia msanii afande sele ametoa ushauri kwa vijana ambao wanapenda starehe ila ndoto zao ni kufanikiwa katika Muziki huu wa Bongo fleva..
Mashairi haya yapo Verse...2.

Lakini pia hapo hapo anadai kuwa hana muda wa kusubili shukurani kwa yale mema aliyowatendea watu kwa maana hakuna shukurani zaidi ya mateke .

Na sitaraji ku staafu kwani muziki sio kadanda/

Na mwishoni anajivisha taji la ufalume kwa kusema maneno yafuatayo.

[Katika picha ni familia ya afande sele Enzi za uhai wa mke wa Asha Muhammad wengi hupenda kumuita " mama Tunda]
Rest in peace mama Tunda
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202