mkonongo1938
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 1,990
- 2,398
Basii kitakuwa chama cha wabuta bange watupu.. Twenty percent apewe ujumbe wa halimashauri kuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu akili ya Katibu Mkuu mtarajiwa wa ACT ndugu Afande Sele unaizungumziaje?akili ya zitto ni Zaidi ya viongozi wote wa chadema na wanachama wao ukiwaunganisha pamoja
Hivi ACT Wazalendo imeliua rasmi tawi lake la Zanzibar, na kila mtu upande unaenda kivyake?Kuna uwezekano mkubwa mwanamuziki Selemani Msindi (Afande Sele) kuwa katibu mkuu wa pili wa chama cha ACT Wazalendo.
Hii inatokana na ukweli kuwa chama hicho kwa sasa hakina katibu mkuu baada ya Mwigamba kubwaga manyanga, na kukimbilia 'shuleni'.
Wadadisi wa masuala ya kisiasa wameeleza kuwa pamoja na Mwigamba kuagwa kwa sherehe lakini kumetokea sintofahamu ya ndani kwa ndani ambapo sasa chama kimegawanyika katika makundi mawili.
Lipo kundi tiifu kwa kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe ambalo linaonekana halifurahishwi na 'cheo' alichojipa kiongozi huyo kwa hoja kwamba kinamshusha badala ya kumpaisha na kwamba Mama Anna Mghwira ambaye naye ana kundi lake anaonekana anang'aa na kumfanya aonekane ni bora zaidi katika kukiongoza chama.
Inaelezwa kuwa Mwigamba hamuungi sana mkono Zitto Kabwe na anapendelea zaidi mabadiliko ya katiba ili kuondosha cheo cha Kiongozi Mkuu wa Chama na kubaki na mwenyekiti tu.
Watu wa karibu na viongozi hao wamekiri kuwa kuna msuguano mkali ndani ya ACT wazalendo na Mwigamba ameamua kistaarabu 'kwenda kusoma' ili asiwe sehemu ya kuporomoka kwa chama ambapo sasa ni dhahiri kinaporomoka kwa kasi sana.
Katika kutafuta Mrithi wa Mwigamba, Selemani Msindi anatajwa kuwa na uswahiba wa karibu sana na Kiongozi Mkuu wa Chama na akionekana ana ushawishi sana wa kimaamuzi mbele ya Kiongozi Mkuu.
Selemani Msindi anatajwa kuwa kipenzi na chaguo mamba moja la Zitto Kabwe na kwa wanaofuatilia siasa za ACT Wazalendo wanaeleza kuwa anaweza kuwa Katibu mkuu mpya wa Chama hicho.
Ingawa Afande Sele hakubaliki kabisa na kundi linaloongozwa na Anna Mghwira kwa sababu za wazi kabisa, kuteuliwa kwake kuwa katibu Mkuu kutazidisha mvutano uliopo sasa na hatimaye kukiua kabisa chama hiki chenye tuhuma ya kutumiwa na CCM kwenye harakati zake.
Haaa haaa Afande Sele anaweza kuleta mabadiliko makubwa ndani ya chama hasa ukizingatia siku hizi anaabudu jua baada ya kumweka kando Mtume Muhamad SAW eti haonekani hawezi kuabudu kitu/mtume asiyeonekana.
Afande sele hongera kwa kuabudu jua mkuu .Haaa haaa Afande Sele anaweza kuleta mabadiliko makubwa ndani ya chama hasa ukizingatia siku hizi anaabudu jua baada ya kumweka kando Mtume Muhamad SAW eti haonekani hawezi kuabudu kitu/mtume asiyeonekana.
Afande Sele kamtumbua hata Mtume kweli ni Jembe atawafaa ACT nadhani kuna wengi watajiunga nao. Tangu lini uliona rasta akawa mwana za utapeli za kikristu ama kiislamu?Kha! Kumbe ninyi mnamuabudu Mudi? Imani nyingine hizi kweli mfu
Afande Sele kamtumbua hata Mtume kweli ni Jembe atawafaa ACT nadhani kuna wengi watajiunga nao. Tangu lini uliona rasta akawa mwanadini zenu za utapeli za kikristu ama kiislamu?Haaa haaa Afande Sele anaweza kuleta mabadiliko makubwa ndani ya chama hasa ukizingatia siku hizi anaabudu jua baada ya kumweka kando Mtume Muhamad SAW eti haonekani hawezi kuabudu kitu/mtume asiyeonekana.
We pimbi, acha dharau kwa mtu wenye wafuasi zaidi 1.7 bilioni duniani kote na iogope siku ya hukumu! kumbuka dini ya huyo unayemuita kwa kejeli ndo the fastest growing religion in the worl, kila siku watu wanaongezeka, bila hata ya mikutano na makelele kama upande wa pili wanavyokesha kujitangazaKha! Kumbe ninyi mnamuabudu Mudi? Imani nyingine hizi kweli mfu
jamaa kaamua kuwa pure atheist, sasa Wadhifa mkubwa hvo bila elimu duuuu , Hujuma au udhuma.Haaa haaa Afande Sele anaweza kuleta mabadiliko makubwa ndani ya chama hasa ukizingatia siku hizi anaabudu jua baada ya kumweka kando Mtume Muhamad SAW eti haonekani hawezi kuabudu kitu/mtume asiyeonekana.
Fuatilia kama kuna ukweli sio unaanza kubwabwaja bila utafitiSijui kwa nini Chadema bado wanahofu na Zitto, yaani Chama kina mbunge mmoja tu lakini bado mnakipiga Majungu kinawanyima usingizi.
Kama mnaona Zitto anawazidi hoja, unganeni naye basi ieleweke.!
Hoja ni kuongezeka kwa wafuasi?We pimbi, acha dharau kwa mtu wenye wafuasi zaidi 1.7 bilioni duniani kote na iogope siku ya hukumu! kumbuka dini ya huyo unayemuita kwa kejeli ndo the fastest growing religion in the worl, kila siku watu wanaongezeka, bila hata ya mikutano na makelele kama upande wa pili wanavyokesha kujitangaza
Mkuu kwa hiyo ni kweli mudi mnamuabudu?We pimbi, acha dharau kwa mtu wenye wafuasi zaidi 1.7 bilioni duniani kote na iogope siku ya hukumu! kumbuka dini ya huyo unayemuita kwa kejeli ndo the fastest growing religion in the worl, kila siku watu wanaongezeka, bila hata ya mikutano na makelele kama upande wa pili wanavyokesha kujitangaza
Zitto is just like Hamad Rashid of ADC, is the sole owner of ACTFuatilia kama kuna ukweli sio unaanza kubwabwaja bila utafiti
Who is zitto by the way?
Sasa hapa CHADEMA inaingiaje mkuu?Sijui kwa nini Chadema bado wanahofu na Zitto, yaani Chama kina mbunge mmoja tu lakini bado mnakipiga Majungu kinawanyima usingizi.
Kama mnaona Zitto anawazidi hoja, unganeni naye basi ieleweke.!