Afande Sele: Mama Kanumba hana sifa ya kuwa mzazi,anafurahia Lulu kufungwa kwa ajili ya ubazazi wa mtoto wake

Huyu jamaa huwa namkubali sana tatizo lile jani lao pendwa
 
Mama lulu asisahaulike na yeye hatakiwi kua mzazi kabisa,kushindwa kumkemea mienendo ya mtoto wake huku akiwa anajua mwanae anayofanya,unaweza kusema inawezekana mama yake alikua anamtumia kwenda kwa wanaume ili kupata mkate mezani,..huyo hafai kua mzazi kabisa
 
Kitoto chenyewe kilikuwa kina-NYE** tangu zamani......kilisemaga hadi kina jini mahaba kinaota kinagongwa ndo maana hakikatai.mtu....
 
Huo ni mtazamo wake, wabongo msijenge chuki [HASHTAG]#Freedomofexpression[/HASHTAG]
 
BAADHI YA WAZAZI WA WASANII WA BONGO MOVIE NAO MAISHA YAO NI YA KISANII TU! WANAISHI KIMOVIE MOVIE TU!
Huo ndio ukweli....sijapata kuona wamama wanaopenda kiki kama wale, yaani mwenyewe nilibaki nimeshangaa sana mahakamani
 
Huo ndio ukweli....sijapata kuona wamama wanaopenda kiki kama wale, yaani mwenyewe nilibaki nimeshangaa sana mahakamani
ulioona walivyokuwa wamejichubua nyuso zao ni kama wauza bar wa wanzuki pale uwanja wa fisi Arusha.naona ni muda sasa mama kanumba na lulu mtulie fugeni hata kuku muda wote macho kodo kama wasanii
 
Afande anatafuta kiki tu.


Kama Kanumba angekuwa ndg yako halafu uone kifo chake ni kawaida tu sijui kama ingeeleweka,mama yake kasema amefurahi haki imetendeka. Kwani mtu anaeua akafungwa yule mtu huwa anarudi?!lkn unapata amani ya moyo kwa mtu aliyehusika akitumikia adhabu
 
Huyu jamaa inabidi uwe makini sana kumuelewa vinginevyo unaweza ukakosea na kumpaka majina ya hovyo.
Mama Kanumba ni bora angenyamaza kimya lakini kwa kusema aliyosema kumemshusha sana hadhi yake.
 
Mpeni mama Kanumba break, alikuwa anaishi Kagera haya ya mwanae wala hayafahamu. Mtoto wake ndiyo tegemeo lake Leo ni marehemu.
Umesema vyema
Kwa nini wasimlaumu mama yake Lulu kwa kushindwa kumfunza mtoto wake
Mama Kanumba amefurahi amekamilisha lililomleta Dar labda sasa atarudi kwao Kagera
 
Afande ni mwanafalsafa, akili yako ikiwa ndogo na hujasikiliza vizuri alichosema si rahisi ukaelewa. Those are called FACTS
 
Na mama lulu naye ana sifa gani?
 
Umesema vyema
Kwa nini wasimlaumu mama yake Lulu kwa kushindwa kumfunza mtoto wake
Mama Kanumba amefurahi amekamilisha lililomleta Dar labda sasa atarudi kwao Kagera
Kwakweli
 
Japo gazet but it's very touching
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…