macson3
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,134
- 1,230
Na huo ndo ubovu wa vichwa vyetu mkuu, Afande yupo sahihi Watu wanasema ganja, very sad.Duh! wachangiaji wengi wamejikita penye ganja badala ya mada!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huo ndo ubovu wa vichwa vyetu mkuu, Afande yupo sahihi Watu wanasema ganja, very sad.Duh! wachangiaji wengi wamejikita penye ganja badala ya mada!
Big YES madame.Ndio lakini alikuwa anabaka hata kama walikuwa wanakubaliana yeye alikuwa mtu mzima ilibidi ang'amue
Huyu jamaa huwa namkubali sana tatizo lile jani lao pendwaView attachment 631113
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo.
Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema mama Kanumba ni mama ambaye hana vigezo vya kuwa mzazi kwani hana uchungu na mtoto wa mwenzake kwenda jela akiwa mdogo, huku ambaye alistahili kuhukumiwa ni mtoto wake Kanumba.
"Mama Kanumba nimeshangaa kusikia anashukuru kwamba Lulu kafungwa, mama ambaye hana uchungu hana sifa ya kuwa mzazi, anashukuru kwamba mtoto mdogo anafungwa kwa ajili ya ubazazi wa mtoto wake, ujinga wa mwanae, upuuzi wa mwanae, mkubwa anambaka mtoto mdogo kama yule”, amesema Afande Sele.
Afande Sele ameendelea kwa kusema kwamba yeye kama mzazi mwenye mtoto wa kike anatamani hata maiti ya Kanumba ingefukuliwa ichomwe mto ili kuwa fundisho kwa wanaume wengine wenye matendo kama yake.
Chanzo: EATV
Huo ndio ukweli....sijapata kuona wamama wanaopenda kiki kama wale, yaani mwenyewe nilibaki nimeshangaa sana mahakamaniBAADHI YA WAZAZI WA WASANII WA BONGO MOVIE NAO MAISHA YAO NI YA KISANII TU! WANAISHI KIMOVIE MOVIE TU!
ulioona walivyokuwa wamejichubua nyuso zao ni kama wauza bar wa wanzuki pale uwanja wa fisi Arusha.naona ni muda sasa mama kanumba na lulu mtulie fugeni hata kuku muda wote macho kodo kama wasaniiHuo ndio ukweli....sijapata kuona wamama wanaopenda kiki kama wale, yaani mwenyewe nilibaki nimeshangaa sana mahakamani
View attachment 631113
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo.
Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema mama Kanumba ni mama ambaye hana vigezo vya kuwa mzazi kwani hana uchungu na mtoto wa mwenzake kwenda jela akiwa mdogo, huku ambaye alistahili kuhukumiwa ni mtoto wake Kanumba.
"Mama Kanumba nimeshangaa kusikia anashukuru kwamba Lulu kafungwa, mama ambaye hana uchungu hana sifa ya kuwa mzazi, anashukuru kwamba mtoto mdogo anafungwa kwa ajili ya ubazazi wa mtoto wake, ujinga wa mwanae, upuuzi wa mwanae, mkubwa anambaka mtoto mdogo kama yule”, amesema Afande Sele.
Afande Sele ameendelea kwa kusema kwamba yeye kama mzazi mwenye mtoto wa kike anatamani hata maiti ya Kanumba ingefukuliwa ichomwe mto ili kuwa fundisho kwa wanaume wengine wenye matendo kama yake.
Chanzo: EATV
Pia afande Sele alimuumbua vikali, Mrisho Mpoto alipokuwa akimponda kwa post yake ya Instagram na kusema anafuga nywele kama yeye ila ubongo wao umetofautiana sana
She should first be given FACTS and break will come. Afande Sele ni afande haswa.Mpeni mama Kanumba break, alikuwa anaishi Kagera haya ya mwanae wala hayafahamu. Mtoto wake ndiyo tegemeo lake Leo ni marehemu.
Umesema vyemaMpeni mama Kanumba break, alikuwa anaishi Kagera haya ya mwanae wala hayafahamu. Mtoto wake ndiyo tegemeo lake Leo ni marehemu.
Afande ni mwanafalsafa, akili yako ikiwa ndogo na hujasikiliza vizuri alichosema si rahisi ukaelewa. Those are called FACTSAfande anatafuta kiki tu.
Kama Kanumba angekuwa ndg yako halafu uone kifo chake ni kawaida tu sijui kama ingeeleweka,mama yake kasema amefurahi haki imetendeka. Kwani mtu anaeua akafungwa yule mtu huwa anarudi?!lkn unapata amani ya moyo kwa mtu aliyehusika akitumikia adhabu
KwakweliUmesema vyema
Kwa nini wasimlaumu mama yake Lulu kwa kushindwa kumfunza mtoto wake
Mama Kanumba amefurahi amekamilisha lililomleta Dar labda sasa atarudi kwao Kagera
Hakika kabisa mada inachepushwa hivi hivi!Na huo ndo ubovu wa vichwa vyetu mkuu, Afande yupo sahihi Watu wanasema ganja, very sad.
Japo gazet but it's very touchingNakumbuka vizuri saana mwaka 2006 yaani miaka miwili tu baada ya mimi kushinda taji la ufalme wa rhymes Tz na kukabidhiwa ile gari maridadi sana ya zawadi aina ya toyota sera yenye milango ya kubinuka kama mabawa ya ndege anaejiandaa kuruka....Jumamosi moja ktk mwaka ule nikiwa kwenye ubora wangu wa hali ya juu na ushawishi mkuu kuliko msanii yeyote Tz nilialikwa kutumbuiza Tabata kwenye ukumbi wa Dar West uliokua maarufu sana nyakati zile...Lkn wakati nikiwa back stage kabla sijapanda jukwaani huku usiku ukiwa umetamalaki yaani ule usiku wa manani au usiku wa manane kama wengi tulivyozoea kusema ingawa tunakosea nikashangaa nashikwa begani na mtu aliyekua nyuma yangu ambapo kulikua na watu wengi tu...nilipogeuka niangalie ninani aliyenishika bega''Hammad"nikamuona Lulu michael aliyekua bado ni bint mdogo sana ingawa tayari alikua na umaarufu si haba labda kwa sababu ya hayo maigizo yao ambayo baadae wakayaita filamu au bongo movie...nilipomuona akaniamkia kwa bashasha namimi nikaitikia huku sura yangu nikiikunja na kuwa ya kuogofya kisha nikaamuuliza kwa ukali kidogo ni kwanini yupo pale ukumbini ktk muda ule ambao kwa umri wake hakupaswa kuwepo?..lulu hakua na majibu ya maana na papo hapo nikamtoa nje ya ukumbi na kisha nikamtuma dereva wangu wkt ule alikua home boy wangu ephraim nguzo aka bad card amrudishe nyumbani kwao haraka na ahakikishe mama yake amempokea...Bad alifanya hivyo kiroho safi akarejea ukumbini na akanimbia kuwa alitimiza yote niliyomuagiza ukizingatia na yeye badi tayari alikua na familia hivyo aliujua vyema uchungu wa mwana...lkn miezi michache baadae nikaja kupigwa butwaa baada ya kusikia kuwa et kale kabint lulu kumbe tayari kalikua na ukaribu usio wa kawaida na baadhi ya hao wasanii mabazazi wa maigizo wasiokua na utu wala aibu
...niliumia sana moyoni nikiwa kama mzazi wa mtoto wa kike ninaempenda sana na kutamani kumuona akitimiza ndoto zake muhimu kwenye maisha kama kupata elimu kwa wkt muafaka...lkn niliumia zaid baada ya matatizo aliyoyapata lulu kupitia kanumba na kwa hakika sikua miongoni mwa waliohuzunika wala kushiriki kivyovyote ule msiba wa kanumba ingawa wkt wote wa pilika za msiba ule mimi nilikua dar tena palepale sinza msiba ulipokuwepo...sikutaka kuvaa joho la unafki kama ilivyo kwa waTz wengi...kwangu hata sasa kanumba ni mtu mbaya na alifanya kitendo kibaya kabisa dhidi ya bint mdogo aliyepaswa kumsaidia kufikia malengo na sio.kumtumia kwa sababu ya umaarufu wake...leo kanumba amepumzika au anapambana na Mola wake kwa kutofuata yale maandiko yasemayo kuwa'TAMAA Ikichukua Mimba Huzaa Dhambi na Dhambi Ikishakukomaa Huzaa MAUTI...Kanumba amevuna alichopanda lkn Lulu unyonge wa kiumri na udhaifu wa kisichana vimebakia kuwa mateso ktk maisha yake...MUNGU ni mwema atamuafu Lulu amalize kifungo chake salama kama alivyompa kanumba haki ya matendo yake mabaya kwa kumlaza mapema...Mwisho wa siku wote wawili wabarikiwe kwa kutufundisha tuliobakia ili tuchague njia sahihi za kupita....DUNIA..GUNIA...![]()
Mwaka gani hii